Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Unataka msaada jinsi ya kutatua tatizo lako la WordPress au tatizo la kumpiga kiswahili mteja?
badala ya kucheat why usianze upya na wordpress? siku 1 tu inatosha kuclone site kuja wordpress
unataka ku cheat du tukufunze uongo dhambiHabari web designers, & developers!
Kuna mteja baada ya kuwa nimemdesignia website yake kupitia Adobe Muse, ikawa hosted na nikapewa na cPanel...ila yeye anataka kuwa akiedit na kuadd content, thinking his website is dynamic and designed by Wrodpress.
Ikabidi niinstall wordpress kwenye ile cpanel lakini haifanyi kazi coz inatumia theme ingine. So how do I cheat him? nimpige kiswahili gani cha kumsubilisha au najitoaje kwenye hili?
Thanks