Katika masaa 12 yaliyopita watu wanne wanefariki kutokana na baridi kali wakiwemo wasio na makazi maalum. Wakati huo huo watembea kwa miguu wawili wamekufa alfajiri hii katika barabara yenye kiwingu na baridi kali.Nimetoka bashite bashite
Katika masaa 12 yaliyopita watu wanne wanefariki kutokana na baridi kali wakiwemo wasio na makazi maalum. Wakati huo huo watembea kwa miguu wawili wamekufa alfajiri hii katika barabara yenye kiwingu na baridi kali.
Hii commet wataipita kama hawaioni akiwemo mleta uzi 🤣 🤣Ingekuwa ni Tanzania, watu wangehoji ndege na treni za nini wakati watu wanapoteza maisha. kumbe mtoa mada unakula sahani moja na malikia, haya mate.
Katika masaa 12 yaliyopita watu wanne wanefariki kutokana na baridi kali wakiwemo wasio na makazi maalum. Wakati huo huo watembea kwa miguu wawili wamekufa alfajiri hii katika barabara yenye kiwingu na baridi kali.
Wazungu wana enjoy sana kule Mtae wana heater, wana hot water bottles, wanaweka madirisha ya vioo na ceiling board.Sasa kama baridi ya kule Mtae Lushoto jamaa yangu alikimbia baridi ile na kubakia kama bump tu sijui huko tuseme sasa utawala unakuwaje?