Toxic Concotion JF-Expert Member Aug 5, 2015 5,736 20,733 Jun 12, 2016 #5 Na kwa wale ambao tayari washapita NECTA ya ndoa wakaamua kuanzisha mahusiano mengine wanafanya tuition ya chuo kikuu au?
Na kwa wale ambao tayari washapita NECTA ya ndoa wakaamua kuanzisha mahusiano mengine wanafanya tuition ya chuo kikuu au?
Kete Ngumu JF-Expert Member Nov 21, 2014 6,651 6,875 Jun 12, 2016 #7 TUITION na NECTA ni njia, alie nekta alipita tution na alie tution huenda akafika nekta au akabaki kuwa tution.
TUITION na NECTA ni njia, alie nekta alipita tution na alie tution huenda akafika nekta au akabaki kuwa tution.
cesilia JF-Expert Member Jul 11, 2015 1,233 1,246 Jun 12, 2016 #8 hata sieelewi niko kundi gani sijui ni KILAZA