Huduma hizi zinatolewa kwa gharama nafuu tena ya maelewano; pia nipende kushauri kuwa Consultancy services katika field mbalimbali lengo lake NI kuboresha na kurahisisha maendeleo ya mtu binafsi au taasisi. Na pia huduma hizi zinaegemea zaidi katika utaalamu wa eneo husika na jambo la msingi zaidi ni kuwa huduma hizi zinapotolewa na mtu tofauti na wewe; wewe unayehudumiwa unapata mda wa kujifunza zaidi ya ufahamu wako pia unapata mda mwingi wa kufanya mambo mengine katika taratibu zako za kazi...hivyo inaokoa mda...na mwisho anaye toa huduma anajikuta nawajibika kuhakikisha lengo lako linatimia vema....hivyo kuongeza usahihi na uwajibikaji kuliko Ungefanya mwenyewe kwa asilimia mia au kama ni taasisi kutumia "staff" yako...ambayo inaweza kufanya vitu hivyo hivyo kwa mazoea tu....
KARIBUNI