Kumbuka Lowassa ndiye aliwatuliza mori kipindi kile!😀 Lasivyo wananchi walikuwa wanaingia mtaani.Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,
Tujiandae tu kisaikolojia mkuu
Asiposhinda atashindishwa
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,
Tujiandae tu kisaikolojia mkuu
Asiposhinda atashindishwa
Kama mtu kama wewe asubuhi hadi jioni unalialia mtandaoni, wale wajinga flani wanwazamaandamano, kuvunja sheria,na kukesha majukwaani wakigomesha wananchi na kuacha kufanya kazi za kujenga taifa,lini tutafikia uchumi wakati. Mabosi wangu jitahidini kuacha siasa muda huu wa kazi hadi 2020 tutakapokuwa kwenye ngwe ingine kumtafuta rais mpyaWanajamvi,
Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao ya kitaifa.
Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hatahivyo lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...
Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo! Ukiuliza, unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo nk.
Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi! Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa. Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi. Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!
Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.
Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, ni wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya na si vurugu mechi! Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!
Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama!
Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”
sasa hivi nakuambia kila hakimu anataka hela hiyo haki itatoka wapi wengine ukiwanyima unapewa adhabu ya kupigwa viboko, ili akiappeal na kishinda tayari kakuadhibuWanajamvi,
Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao ya kitaifa.
Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hatahivyo lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...
Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo! Ukiuliza, unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo nk.
Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi! Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa. Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi. Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchsasa i na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!
Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.
Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, ni wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya na si vurugu mechi! Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!
Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama!
Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”
We need lissu so much than any timeWanajamvi,
Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao ya kitaifa.
Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hatahivyo lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...
Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo! Ukiuliza, unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo nk.
Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi! Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa. Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi. Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!
Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.
Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, ni wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya na si vurugu mechi! Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!
Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama!
Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”
bonge la pointi mkuu na hapo anayetufaa si mwingine ni Tundu Lissu hata ikiwa 2030 bad ni tundu Lissu anayetufaa ili taifa lisonge mbeleWanajamvi,

Toka mmeanza kulijenga hilo taifa lenu mmeshafikia wapi mpaka sasa .Kama mtu kama wewe asubuhi hadi jioni unalialia mtandaoni, wale wajinga flani wanwazamaandamano, kuvunja sheria,na kukesha majukwaani wakigomesha wananchi na kuacha kufanya kazi za kujenga taifa,lini tutafikia uchumi wakati. Mabosi wangu jitahidini kuacha siasa muda huu wa kazi hadi 2020 tutakapokuwa kwenye ngwe ingine kumtafuta rais mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
approach ya jiwe ni ya kishamba mno anachanganya kutawala nchi na maamuzi ya nyumbani kwake .hakujiandaa kabisa na hajui matokeo ya tamko moja la kishamba bila maandalizi linavyoweza athiri na kuleta hasara kubwa.kwa mfano tu tamko kuhusu korosho limemuathiri hata yeye mwenyewe alipodhani atapata sifa binafsi.Wanajamvi,
Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao ya kitaifa.
Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hatahivyo lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...
Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo! Ukiuliza, unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo nk.
Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi! Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa. Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi. Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!
Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.
Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, ni wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya na si vurugu mechi! Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!
Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama!
Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”
Utawala wa hovyo kuwahi kutokea Tz.approach ya jiwe ni ya kishamba mno anachanganya kutawala nchi na maamuzi ya nyumbani kwake .hakujiandaa kabisa na hajui matokeo ya tamko moja la kishamba bila maandalizi linavyoweza athiri na kuleta hasara kubwa.kwa mfano tu tamko kuhusu korosho limemuathiri hata yeye mwenyewe alipodhani atapata sifa binafsi.
Hata issue iliyompata Lissu ni kwasababu ya kumkosoa mh rais, kutokufuata sheria hata mikataba wanayosaini hawaifuati.Kama mtu kama wewe asubuhi hadi jioni unalialia mtandaoni, wale wajinga flani wanwazamaandamano, kuvunja sheria,na kukesha majukwaani wakigomesha wananchi na kuacha kufanya kazi za kujenga taifa,lini tutafikia uchumi wakati. Mabosi wangu jitahidini kuacha siasa muda huu wa kazi hadi 2020 tutakapokuwa kwenye ngwe ingine kumtafuta rais mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,
Tujiandae tu kisaikolojia mkuu
Asiposhinda atashindishwa
Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...
mtu anayetegemea kura za wananchi hawezi kula hela za tetemeko , anajua hata akitukana wahanga hamtamfanya kituNdiƴo maana ana jeuri kwa kuwa atashindishwa!
Hakuna lolote linaloonyesha mwelekeo mzuri. Kwasababu nchi haiendeshwi kwa mipango bali utashi binafsi wa mtu au watu wawili watata.Waliomtangulia walishaanza kuiweka misingi hiyo; yeye amekuja, anaanza upya kuweka misingi yake!
Inatakiwa aanze kutangaza mwaka mwingine aliolenga yeye kuyafikia malengo anayopanga yatatufikisha kwenye uchumi huo wa Kati. Hiyo mipango iliyowekwa na wenzake haiwezekani tena kutufikisha huko.
Ngoja nikuulize swali moja tu: hivi ungemwambia Dangote leo hii aje awekeze kile kiwanda, atakubali kwa hali ilivyo sasa?
Sitetei mipango ya chinichini kama ilikuwepo wakati anakaribishwa; lakini hata ungempa mipango hiyo kwa mazingira yalivyo sasa, sina hakika kama angekubali.
Nakubaliana na hoja kabisa!bonge la pointi mkuu na hapo anayetufaa si mwingine ni Tundu Lissu hata ikiwa 2030 bad ni tundu Lissu anayetufaa ili taifa lisonge mbele
Sawa lkn hoja yake umeiona?Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,
Tujiandae tu kisaikolojia mkuu
Asiposhinda atashindishwa