We Must Stop Over-dependence On Foreign Nations – Palmer Buckle


ohh Yes, maana hata cameron ni mwanglikana
Nadhani pia wakati umefika kwa nci za kiafrica kujitoa Jumuiya ya Madola. maana UK inajali sana issues na interests za USA kuliko ilivyokuwa zamani. Jumuiya ya madola haina manufaa tena, bora hata klabu cha pombe za kienyeji watu hubadilishana mawazo yenye mashiko kuliko hii kitu.
 
Unajua huwa nawaza ingekuwa enzi za Nyerere wakati Cameroun anatoa ilo tamko angetoka nje tuu!
Tukiacha kutegemea misaada lazima tutajua namna ya kupata plan B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…