nimesema kama hujaelewa we kausha tu...mbwembwe nyiiingi!!!! mistari ya mshikaji wangu Nikki wa pili!!!! sasa ww umekurupuka usingizini unaleta upompompo tu...mweeeeeee give me a break!!!!!!!
Hamjaamwelewa @Chopeki, mi nimemwelewa na naunga mkono!
Wa 60 na 80 hatuwezi make,
Na kabla sijahema washakugema sana mafataki,
Shikamoo unakaza.. umri ka maza,
Na mi sio faza ni vipi nitakuliwaza?!
Unataka kunikuza ah wapiiii!!!!!!
~~ukickia paa ujue imekupata!!~~
Nikikukera leave me alone,na kama hujaelewa we mute tu inaruhusiwa!!!!!!
I'm out.. πππππππ:heh::heh:
hahahaa kickia paa ujue tayari....nshasema nikikukera leave me alone!!!!
mpe hongera mkuu ni wachache wenye fulsa ya kufika mwezini!dah pole kwa kua mwezini mkuu
Aseee.... nahisi kati ya watu woote we ndo nimekukera zaidi pole nivumilie tuu... hahahaaaaa:heh::heh::heh:
hahahaahaaa then may the peace be on u madame!!!!