Tatizo la kuvuta mibhange feki
hahahaaa....! Nakuvaa skin jeans na mabuti oversize!!!
Shikamoo unakaza.. umri ka maza,Na mi sio faza ni vipi nitakuliwaza?!
Wa 60 na 80 hatuwezi make,
Na kabla sijahema washakugema sana mafataki,
Shikamoo unakaza.. umri ka maza,
Na mi sio faza ni vipi nitakuliwaza?!
Unataka kunikuza ah wapiiii!!!!!!
~~ukickia paa ujue imekupata!!~~
Nikikukera leave me alone,na kama hujaelewa we mute tu inaruhusiwa!!!!!!
I'm out.. 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂:heh::heh:
Tatizo la kuvuta mibhange feki
eksipayadi wiidi!, au limekupata nini kibibi wa 60! LOL
Mi kiserengeti changu kistaarabu hakiwezi kuniumbua hivi, ntakinyang'anya usafiri tuone kitatongozea nini!
"Last sign of madness, talking to your own head, baada ya hii ni kifo"― J.K. Rowling, Harry Potter and the Order of the Phoenix
Siku hizi hawana hata aibu tena, wanavaa skin tait na tops