We Mourinho Bukoba unafanya nini tena!!!

Afu special one si UKAWA huyu, yupo ziarani na akina Slaa!
 
Horseshoe Arch kwi!kwi!kwi! kama kweli hivi icho kilifaa kiwe kichwa cha habari alafu wale wenye Blog zao wanaoiba vitu kutoka huku JF wanakurupuka wanakopy na kupaste tu ha!ha!
 
Bibie na kokoko shamba si vichuchumio vinadidimia naona alipata tabu sana baada ya kumaliza msafara shambani
 
Bibie na kokoko shamba si vichuchumio vinadidimia naona alipata tabu sana baada ya kumaliza msafara shambani
Unamacho makali mi nilikuwa sijaona aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…