THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Dec 12, 2011 #21 Jaluo_Nyeupe said: sipati picha alivyorudishia ilikuwaje. Click to expand... atakuwa alitumia kijiti.
Jaluo_Nyeupe said: sipati picha alivyorudishia ilikuwaje. Click to expand... atakuwa alitumia kijiti.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Dec 12, 2011 #22 lwamayanga said: jaman me mbona nilisoma kwenye post moja hivi ikisema mtu anaweza kuweka avatar yoyote ilimradi isiwe ya matusi au public offence Click to expand... hiyo avatar inatuonyesha wewe ni binadamu wa aina gani, ukatili na roho uliyonayo. Kwa kuwa ndivyo ulivyo huwezi kubadilika wala kukubali kuitoa avatar hiyo.
lwamayanga said: jaman me mbona nilisoma kwenye post moja hivi ikisema mtu anaweza kuweka avatar yoyote ilimradi isiwe ya matusi au public offence Click to expand... hiyo avatar inatuonyesha wewe ni binadamu wa aina gani, ukatili na roho uliyonayo. Kwa kuwa ndivyo ulivyo huwezi kubadilika wala kukubali kuitoa avatar hiyo.
mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,851 Dec 12, 2011 #23 Mama naye ndani alitupia kitu bkini nini?
M mang'ang'a JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 828 Reaction score 379 Dec 13, 2011 #24 KANCHI said: Kweli hiyo avator mbaya kwa me nadhani hata wana jf wengine wataniunga mkono. ITOE BANA!! . Click to expand... Naunga Mkono hii avatar imeni disturb kiasi hata wakati wa kusoma post yake ilibidi niisogeze juu niiione. si ubin adam huu
KANCHI said: Kweli hiyo avator mbaya kwa me nadhani hata wana jf wengine wataniunga mkono. ITOE BANA!! . Click to expand... Naunga Mkono hii avatar imeni disturb kiasi hata wakati wa kusoma post yake ilibidi niisogeze juu niiione. si ubin adam huu