We King'asti hebu acha mkwara mbuzi.........!

Duh!!! Mzee Mtambuzi hapa kweli mtoto unaye...usije ukashangaa siku mkweo anakuja kushtaki kwenu kuwa katolewa meno ya bafuni.

Hahahahahaah! duh ! balaaa, yaani kaka Mtambuzi huna mtoto, kama atapiga mpk mkwe , halafu mkwe ndiyo anakuja kushitaki, inabidi uingie chini ya uvungu kujificha kwa Aibu.
 


Sikutegemea kuwa mwanangu utakuwa na mkwara namna hii, hivi umechukua tabia za nani maana katika ukoo wetu hatuna watu wenye mikwara mbuzi kama wewe...........


Inawezekana si mkwara Bwn Mtambuzi, ila yupo kikazi zaidi! Si unaona huo uzi uliovaa ni wa jeshi gani, Mhhh!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaah! duh ! balaaa, yaani kaka Mtambuzi huna mtoto, kama atapiga mpk mkwe , halafu mkwe ndiyo anakuja kushitaki, inabidi uingie chini ya uvungu kujificha kwa Aibu.

Ha ha haaa!!! ni balaa nusura ya mkosi...ni vumbi linapanda juu ya lami ugomvi balozi hawezi kuamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…