Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
hivi kazi za kuhudumia bar ni ya kujidhalilisha? kuna wengine hawana hata hicho kinafasi cha kufuga kuku kuanzia eneo lenyewe na hata mtaji wenyewe, nipate kazi ya bar pale kilimanjaro hotel niache? kisa eti nina degree? haaa mnanitania tena naenda sana hapo maana najua nitawapata wateja walioko kwenye system na mwisho wa siku nitatoka, ajira zimekuwa ngumu sana siku hizi,
Bora mkuu umwambie ukweli hivi hawa watu wanajua muda mtu anaoupoteza ukiwa shule ???do you know how long it takes kusukua benchi darasani hadi kufika masters ???sio mnaongea tu na je kama mtu wa masters akifanya kazi ya mtu wa chini then what was the point ya yeye kusoma cuz kama ni elimu tu mie nadhani inaishia form 6 but degree na masters thats a professional sio tu eti cheti ,ni kama mtu asomee kuendesha gari au unamwambia ww kazi yako itakuwa houseboy wapi na wapi ...People think sio mnaongea tu eti nigeria watu wenye masters wanagombania kuendesha magari wat if ukiwa na mtoto anamasters then unamuona yupo street tu anauza mitumba utafurahi ???what about hela ulizotumia kumsomesha ..mtu umesomeshwa ili uishi a better life hujaenda yule kutembea na kurudi kuuza karanga nyie vipi bwana ungeeni vitu vya maana .Kama mtu ana masters hana kazi mwambie afanye kitu relevant na masters yake but sio kusema afanye kazi yoyote huwa utakuwa ni wendawazimu eti kisa hana kazi ..nyie ndio mkizamia nchi za watu mnaishia kuoa au kuolewa na mabibi cuz mnataka short cut mtasema kuwa maisha magumu ndio maana nimeoa./nimeolewa na mzee
Some intellectual thinking should be left to intellectuals and not University leavers. Wewe ni sifuri kabisa but still unazungumzia thamani.
Ungeanza kuonesha thamani yako kwenye bango: We cannot be cheap because of problem of unemployment.
Are you talking about problem of unemployment or unemployment problem? Sasa huyu ndio msomi anayewashauri wenzake watambue thamani zao. Wewe usiyejua hata kiswahili ndio unataka kujitutumua kuonesha thamani yako?
Listen up stupid boy, kazi hazina formula. Ulichokiongea kina mantiki lakini reading between the lines, intention yako ni ya kujikweza. Usikimbilie kwenye thamani (dhamani, sijui lugha gani hiyo) bali pia zingatia uwezo wako.
Kwa mfano, ukiwa na shahada ya uhandisi na bado hujui kiingereza (bar made = bar maid) wala kiswahili (dhamani = thamani) ambavyo ndio umefundishiwa miaka 18 basi hufai hata kufuga kuku kwa kujiajiri. Zingatia umahiri ndio utakuongezea thamani na sio shahada.
nimekusoma vizuri ndugu yangu! kwanza hongera kwa kujua thamani ya elimu yako na utu wakonimeanzisha mada hii baada kuona thread moja ikilamu mtu kukataa kaz akiwa hana kazi. Si kweli wala sahihi kwamba kama mtu hana kaz basi ajishushe dhamani yake na kufanya kaz ambao anaona fika haiko katika level yake. Vijana lazma tujue dhamani yetu na tukatae kunyonywa kwa kupewa kaz ambazo haziendani na ujira in the name of unemployment. Tuzikaae tujizatiti hata kuungana na kujiari wenyewe. Mtu ana shahada ya uhandisi unamwambia kawe bar made kisa hamna ajira, bora mara mia ukafuga kuku wako wa mayai ukauuza
nimekusoma vizuri ndugu yangu! kwanza hongera kwa kujua thamani ya elimu yako na utu wako
wote tunafahamu changamoto za ajira siku hizi,lakini kama ndio tunnaanza kazi,hatuna uzoefu wowote inakulazimu kukubali kazi yeyote ila mradi tunajikimu kila siku!
kuna kitu ambacho graduate wengi hawakijui kuwa mtembea bure sio sawa na mkaa bure,yaani ni na maana ukipata kazi yeyote wewe fanya humohumo ndani ya kazi mambo mengine yatafunguka,utatengeneza network,utakuwa information mbalimbali kuhusu kazi kuliko kubaki nyumbani ukiangalia movie na kupigia misele mademu
siku moja niliwahi kucomment kwa kutumi mfano wa rafiki yangu ambaye baada ya kukaa mtaani 2 years alianza kwenda kariakoo usiku ananunua mbogamboga kwa wakulima alafu asubuhi analangua kwa wanunuzi!kutokana na kuwa makini na kazi yake watu walikuwa wanamuuliza ana elimu gani akasema yeye graduate wa mambo ya biashara!hapohapo kkoo watuwakaanza kumjua then siku moja mtu akamfuata akamwambia ukiwa unamaliza shughuli zako njoo ofisini kwangu uwe unafanya part time as consultancy! jamaa walifanyakazi one year then akafungua ya kwake,leo kampuni yake ina miaka 4 ana clients wa kutosha mpaka anaoutsource kazi kwa watu!tuliomtangulia kupata vibarua bado tunasubiri sana kwa jamaa sababu yupo mbali sana kimashaa,kimawazo
mimi bado na wasiii ndugu zangu tusikataee kazi,sababu hiyo kazi unayoidharau ndio njia yako ya kutokea
nawasilisha
Enough said! God bless!