Angekuwa complete package, mkuu. Unawezakaa na mwanamke hajui kupika that's fine, lakini hili la mambo ya tunda mkuu yaani has a powerful feeling.......nimejaribu kuoverlook lakini nashindwa kabisaa kadri siku ziendavyo.Kwa hiyo pamoja na "sura nzuri tabia njema mpishi mzuri msafi ana heshima etc" she is ok which means hata angekuwa safi 6X6 bado angekuwa ok. Rejea post yako ya mwanzo.
mhh ukimuoa huyo jiandae na mechi za mchangani.....ndoa si kusoma magazeti babu eee watuulize wenye ndoa zetu zinatizmiza miaka 70 sasa na kila siku wapya
Sio mnene wala sio mwembamba yuko wastani tu. Tabia nzuri anayo, ana heshima yani in overall yuko ok kasoro ni kwenye 6x6 yaani nimejitahidi saanaa kuoverlook lakini naona sasa it's taking its toll, nsipendi wala sitopenda kuja kuwa na nyumba ndogo maishani. Hata sijui nifanyenje niko njia panda
Hapo ndipo panaleta utata.....maana dini zinasema tusizin had ndoa.....mtazamo wa kiyakinifu unaonesha kua waweza uziwa mbuzi kwenye sanduku.......maana kutakua na poor diagnosis wizara ya mambo ya ndani.....ambayo ni nyeti sana
Sowez kukushaur utafute mwingne najua utazin nae tenaaaa.....sijui ufanyeje
Vuvuzelanani kakuulza yote hayo bi shost?
ntampataje bidadaShosti hii habari ni real!!............
Unataka kumfunda?!ntampataje bidada
unaweza kuta hahitaji hata kufundwaUnataka kumfunda?!
unaona sasa!???????????????????
kunywa Asprin....tatizo umeniogopa basi bwanaHaya hebu nijuze kiutuuzima...do u think anahitaji nini huyu endapo hahitaji kufundwa? Kichwa kinaniuma......