The Retired Planner Senior Member Joined Sep 22, 2015 Posts 166 Reaction score 242 Jan 17, 2017 #1 WanaJF, Hivi kuna mwenye ufahamu kama hawa jamaa wa WCF wameshaita watu kwenye "interview"?
The Retired Planner Senior Member Joined Sep 22, 2015 Posts 166 Reaction score 242 Jan 17, 2017 Thread starter #2 Duuh hivi kweli hakuna mwenye fununu humu leo? msinifanyie hivyo bana...!
talnam JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 1,452 Reaction score 2,831 Jan 17, 2017 #3 Kwakweli nami nasubiri majibu hapa
Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,618 Jan 17, 2017 #5 FARU JEURI said: G.O.E. Click to expand... Hiyo ni nini faru jeuri
FARU JEURI JF-Expert Member Joined Sep 4, 2015 Posts 377 Reaction score 299 Jan 17, 2017 #6 Kajolijo said: Hiyo ni nini faru jeuri Click to expand... Nenda Google tz
chenjela Member Joined Aug 25, 2016 Posts 5 Reaction score 3 Jan 18, 2017 #8 Bado unyunyu uliopo ni kwamba bado wana chambua applications