Wazungu wapo kwenye post paid sisi tupo kwenye pre paid

Mzee Post paid ipo hata Nchini inategemea na Class yako ivi leo umuambie mtu wa tandale au Buza huko atumie ndo Alipe si hatari hio, Hii nchi ukitaka Kuijua vizuri when it comes to issue za Hela kwanza basi waulize TALA TANZANIA, Tanzania kinachotuweka nje ya ulingo wa kuwa matapeli haswa ni Lugha tu mkuu laiti kama tungekuwa tunatumia Kingereza from the scratch basi mataifa kama Nigeria na Ghana tungekuwa nayo kwenye line moja ya utapeli, Population pia ni fact zipo factor nyingi ila lugha ni Kigezo kikubwa kilicho tu isolate na dunia

Back to the topic
Kampuni za Simu zina Postpaid kama matumizi yako ni makubwa
Hata umeme wateja wakubwa ni Post paid
Mwanzo umeme ilikuwa ni Post paid Customers ila kutokana na Changamoto za revenue Collection ndio ikaja LIPA UMEME KADRI UTUMIAVYO Kwa kufupisha LUKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…