Wazungu walinicheka nilipo ongea English ya Kibongo Ku express love kwa huyu mrembo.

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Ebwana eeeh!!!nilipanda flait moja ivi ya sauz,Daahh! jamani mle ndani wa hudumu wa ile ndege wamepitiliza kwa uzuri.nilimpenda mdada mmoja ambae ni mhudum sasa ikabidi nijiresi nikajifanya pumu imenishika gafla,aisee si wakaja fasta wanaongea kingereza chao cha kubana pua Nikajiparagusa Nononono am not fever my hert is like you give me your number.Sirudii walinicheka sana so at the end ya safar alinipa address.
Moyo wako ukipenda sema tu mueleze usiogope ili uwe na furaha moyoni mwako.
Swali.Najiulizaga sana wenzangu na mimi ambao huwa mnapanda panda ndege kwenye safari zenu ni kwanini wahudum wa kwenye ndege wanakua wazuri sana?
 
Back
Top Bottom