Wazungu wachoma Makanisa Moto!

Status
Not open for further replies.

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Haya Wazungu (wakristo) huko Marekani baada ya kupiga risasi Wakristo wenye asili ya Kiafrika weusi wameendelea na kampeni yao ya kuilezea Dunia ya kwamba Wanachukia Wakristo wenzao weusi wenye asili ya Afrika kuliko wanavyowachukia Waarabu waislamu, na hii inajionyesha wazi kwa kile kinachoendelea hakuna Msikiti wa Waarabu uliochomwa Moto bali wamechoma (Wazungu wakristo) Makanisa ya Waafrika Weusi wenye asili Afrika!

Jambo ambalo linapaswa kutufundisha Kitu hapa! Ya kwamba Hata uongee Kiingereza vipi, hata ujiite Elisabeth, Michael, John au sijui Harrison, Edward, Wilbroad, Freeman kwa Mzungu sisi (Waafrika Weusi) Ni takataka tu, tutajipendekeza tunavyotaka, tutakaa upande wa Wazungu Waisraeli kwenye UGOMVI usiotuhusu wa Wapalestina na Waisraeli lkn mwisho wa siku wote Waarabu na wazungu wote wanatuona ni Manyani tu!









Chanzo: wltx


 

Attachments

  • kanisa.jpg
    24.2 KB · Views: 496
  • kan.jpg
    17.1 KB · Views: 473
mbona uzi umekaa kibaguzi baguzi tu haya napita
 
Umezungumza ukwel mtu mkuu...utalikuta jitu linatetea mzungu kuliko linavyotetea ndugu yake....miafrika imerogwa na nan sijui...
 
Ngoja nimuuite mtumishi mwenzangu wa Mungu alie hai Ishmael
 
Last edited by a moderator:
tusipoacha kuwaabudu hawa ngozi nyeupe na tupigwe tu
 
ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu,
ukianza kula nyama ya jirani yako, kesho utakula nyama ya mtoto wako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…