Wazungu wa Australia wawashambulia waasia wa India

tgeofrey

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
561
15
Tulisikitika sana na matatizo yaliyotekea afrika ya kusini juu ya wenyeji kuwachoma na kuwafanyia fujo wageni kwa sababu yanafasi za kazi. Sababu ya mateso na machungu wenzetu waliyoyakabili tuliweza kuhisi nihasira zilizo jaa zinatafuta mahali pa kupasukia ili zikome. Leo hii nchi ya malkia australia wameanza kuwashambulia wanafuzi wa kiasia kutoka india. Kama australia ustaarabu unapetea tutaupata wapi??hata kwa bibi mwenyewe chama cha weupe pee kina mbunge. Wako wapi waliostaarabika(civilized).



http://www.google.com/hostednews/afp/article/ALeqM5hlo6Y1CdwHtyii87Ar5ogcfyWLXA

http://www.thaindian.com/newsportal...ary-panel-on-australia-attacks_100301026.html
 
Back
Top Bottom