The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Mzuqa
Sijakataa wamevumbua vitu vingi sana kwenye nyanja mbalimbali kama teknolojia na medicine na kurahizisha maisha ya kila siku. Lakini licha ya yoote hayo haileti tija na mantiki yeyote bila aibu kusifia na kusisitiza eti urembo na uzuri kwa msichana au mwanamke uonekana hivi kwenye picha hapo chini.
Binti wa trump huyo lara trump ma ar largo florida akisifiwa ni mrembo na mwenye umbo la kuvutia

Kumbe hii Emoji ndiyo hii. 