Yanaweza kudumu mpaka kufikia kuzeeka pamoja.
Suala ni kwamba usiwaze hasi (-) moyoni mwako au mwenu kuwa mahusiano ya kukutana Mitandaoni hayadumugi, kuwaza hivyo ni kosa kubwa na ndipo wengi wanakamatiwa hapo na adui.
Unajua kile unachowaza ndicho unachopewa , ukiwaza kibaya shetani anakuchomekea hichohicho kibaya unachokiwaza.
Lakini ukiwaza mazuri na MUNGU wa mbinguni anayakamilisha hayo mazuri unayowaza.
Mahali kokote utakapokutana na mwenza wako ,iwe bar, disco, madhabahuni, uswahili , kwenye sherehe, kwenye mitandao ya kijamii, hata gerezani , kinachotakiwa muwe mnaendana na muwe mumekubaliana toka mapema nini mnataka na malengo yenu ni nini , na wote muwe na mawazo hasi (+) juu ya uhusiano wenu na maisha yenu, siyo muwe mnaishi hamuaminiani hapo mtakuwa mnadanganyana .
Kwahiyo mahusiano yanadumu sana hata kama mumekutana kwenye mitandao ya kijamii.
Yap! Unadumu. Mm na mke wangu tumejuana fb tukakaa kwenye mahusiano miaka 4 kwakuwa nilikuwa nasoma na yy anasoma 2014-tukafunga ndoa had leo. Nipo nae na tuna mtoto mmoja tunapendana hadi shatani anatuonea dongeNatumai mpo poa kabisa wanaMMU.
Naombeni ushuhuda kuhusu yale mahusiano ya kukutana kwenye mitandao ya kijamii na baadae wahusika kuonana mubashara na hata kufikia hatua ya ndoa, je mahusiano haya hudumu au vp?
Karbuni
Sijui ndo maana nimeulizaUnauliza nini? Emu jitambue kidogo
Kama hajakuelewa basi tenaJamani mahusiano yoyote ili yaweze kudumu kuna mambo yanayofanya mahusiano hayo yadumu, haijalishi mmekutana kanisani,sokoni,barabarani, mitandaoni nk.
Lasivyo ndoa/mahusiano yanayovunjika yangekuwa ni ya wale walokutana mitandaoni tu.
Kudumu kwa mahusiano hakuna mahusiano na mlipokutania bali mliokutana ndio mtayafanya yadumu au yasidumu.
du haijawahi kunitokeaNatumai mpo poa kabisa wanaMMU.
Naombeni ushuhuda kuhusu yale mahusiano ya kukutana kwenye mitandao ya kijamii na baadae wahusika kuonana mubashara na hata kufikia hatua ya ndoa, je mahusiano haya hudumu au vp?
Karbuni
mami upo? nakumissKama hajakuelewa basi tena
Sijui ndo maana nimeuliza
Mkuu sijawahi kuona ukisapoti kitu humu zaidi ya kukosoa, una nini kakini?Unauliza nini? Emu jitambue kidogo
Shida ndio hapo kwenye mitazamo hadi nami nikaamua kuuliza
Acha ujinga na bangi zako za chooni shenzi kabisa.Nakutaka kimapenzi