He was blessed with a visionary ability which he well used as a tool and weapon to face difficult issues in his time.
FF angelikuwepo angetuambia zaidi. Maana Aliwahi sema jamaa alikuwa mtaalamu wa kung'ata.
nakubaliana na wewe kabisa. Akiamua kufanya charm offensive alikuwa anaifanya effectively,akiamua kuwa mbogo anakuwa mbogo kweli kweli,hakujali kum lock up mtu na funguo kuzitupia porini,that wa Kambarage bana.Bishanga, Nyerere was no nonsense person. Sasa kwa watu wavivu na wazembe wasiotaka kujituma alionekana kama anawazibia vile. Na kusema ukweli, with all his short comings, his visionary ability made him a star. He could foresee the obvious and stood to what he believed no matter what. Ile ilimpa upper hand zaidi ya wenzake wengi walioshindwa kugundua vitu gani vya kufanya na vipi vya kutofanya ili wakae kwa amani hata bila ya kuwa maraisi
nakubaliana
na wewe kabisa. Akiamua kufanya charm offensive alikuwa anaifanya
effectively,akiamua kuwa mbogo anakuwa mbogo kweli kweli,hakujali kum
lock up mtu na funguo kuzitupia porini,that wa Kambarage bana.