Wazo la channel ya youtube

Wazo la channel ya youtube

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Wakuu hali sio nzuri Kwa shughuli ya YouTube Tanzania hapa.

Idadi ya Views imekuwa ndogo Sana. Naomba Mwenye wazo la Aina ya Content Bora ya YouTube channel aishushe hapa.
 
Wakuu hali sio nzuri Kwa shughuli ya YouTube Tanzania hapa.

Idadi ya Views imekuwa ndogo Sana. Naomba Mwenye wazo la Aina ya Content Bora ya YouTube channel aishushe hapa.
Natamani kushusha hapa lakini naogopa wazo langu litabebwa!. Kuna wakati mafanikio bila ubinafi kidogo hayaji.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Mabando yameua fursa ya youtube, wasanii tuliozoea wanapata views milioni ndani ya siku 1 kwa sasa zinatafutwa hata wiki nzima
 
Wakuu hali sio nzuri Kwa shughuli ya YouTube Tanzania hapa.

Idadi ya Views imekuwa ndogo Sana. Naomba Mwenye wazo la Aina ya Content Bora ya YouTube channel aishushe hapa.

The way umeuliza hili swali I assume that you have YouTube channel. Before I share my 2 cents,
1. Kama una YouTube channel, what content do you air?
2. Do you monetize it? How?
 
Haya mambo inabidi ujitafute mwenyewe na upate audience ya nje. Bongo michosho labda kama unatafuta umaarufu.
 
Back
Top Bottom