wazo la biashara

Nyukibaby

Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
77
Reaction score
12
hi!guyz huxuxan wanaofanya kazi za kujiajili jaman ndugu zangu,watanzania wenzangu,wanajf wenzangu, mxaada nina mil.2 jaman natakakufanyabiaxhara je ni biaxhara gan naweza fanya! Pls jaman naitaji mxaada wenu!tnx
 
1)Nakushauri kama una sehemu ya kufugia jaribu kuku wa nyama unaweza pata vifaranga wengi tu na ukabakiwa na pesa ya chakula,ukijituma itakufikisha pointi fulani ila zingatia chanjo ili isije ikala kwako.mi nilifanya na bado naendelea imenifikisha somewhere sasa nawaza kutafuta na biashara mbadala ili kuongeza kipato mana unemployment kwa sasa imekuwa ni janga la dunia.

Otherwise,nakupongeza na pia kama utapata wazo lingine zuri kuliko hili jaribu kupima mwenyewe kipi utakiweza kutokana na opportunity ulizonazo.

mwisho nakutahadharisha kuwa hakuna pesa ndogo hivyo usikubali mtu akuvunje moyo mana kila mtu ana maisha yake na tafsiri yake ya maisha. "some of the people have born only to criticise"
 
cheki opportunity zilizopo katika eneo unaloishi then decide
 
hi!guyz huxuxan wanaofanya kazi za kujiajili jaman ndugu zangu,watanzania wenzangu,wanajf wenzangu, mxaada nina mil.2 jaman natakakufanyabiaxhara je ni biaxhara gan naweza fanya! Pls jaman naitaji mxaada wenu!tnx

ila ndugu yangu,nakushauri uwe serious na uandishi...
Unaweza ukakosa msaada wa ushauri kwa namna unavyoandika...
Tumia lugha nzuri,hizo x badala ya s zitakufanya uonekane haupo serious na wazo lako.
Ni ushauri tu,ila nakutakia mafanikio mema.
 
Asante ndugu!
 
Asante ndugu yangu kwa ushauri wako nimeupenda lkn tatizo hapa town nimepanga,! So kufuga kuku siitakuwa kazi kubwa..!
 
Asante ndugu yangu kwa ushauri wako nimeupenda lkn tatizo hapa town nimepanga,! So kufuga kuku siitakuwa kazi kubwa..!

kama uko town jaribu hata m-pesa/ tigo- pesa inalipa kama utapata location nzuri.
 
kaka njoo huku lringa tufanye biashara ya kusafirisha mbao, kama ukiwa serious ndani ya mwaka unaweza kutengeneza hela nyingi sana. tuwasiliane kwa 0718 257680 kwa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…