NI KUCHANGIA TUU.......KULINGANA NA WAZO LA MTOA MADA....SINA UBAYA NA MTU YEYOTE:A S-confused1: NAMNUKUU.....
Hint: - tafuta eneo zuri na ukubwa kiasi kuanzia watu 100 hadi 500, boresha muonekano wa eneo husika nje na ndani kwa kuweka vifaa vya kisasa kama AC, Bigest wide screens, sound proof, viti vya kisasa kama vya kumbi za sinema nk.