Hayo makubaliano ni yapi mkuuhabari wakuu.
haya huwa makubaliano yangu pamoja na mmiliki wa chombo.
Jinsi ya uendeshaji wa Biashara yake boss.Hayo makubaliano ni yapi mkuu
Naam,hili pia huwa linafanywa mkuu,kama nilivyoelezea ni makubaliano ya boss na msimamizi(Mimi) yeye nikusubiri hesabu tu.Ili uweze kurealise faida ya Bajaj/Boda boda yakupasa uzimiliki zaidi ya 3!.
Na kubwa kuliko yote "kama boss usikubali kutoa chombo yako kwa hesabu ya siku, itoe kwa mkataba(miezi 18-20)".
Good DealJinsi ya uendeshaji wa Biashara yake boss.
Kuna aina mbili ya uendeshaji ambayo imezoeleka,Mosi. Boss hutaka ufanye kivyovyote ndani ya mwaka wa kwanza amerudisha pesa yake ya manunuzi na mwaka unaofuata anataka uwe wa faida.then anakuachia bajaji jumla.(yaani ndani ya miaka miwili awe amerudisha pesa na faida yake)
Lakini pili ni uendeshaji huu tuliouzoea wa 25,000 per day(siku sita za kazi) maana jumapili ni service.
akijibu unitagmkuu nifumbue macho kidogo,
1.Bei ya bajaji mpya kwa sasa ni kiasi gani?
2.Kama mkataba wa miaka miwili ili uachiwe bajaji,then daily utakuwa unapeleka kiasi gani kwa bosi?
3.Je bajaji itakuwa inaishi kwako ama baada ya muda wa kazi inarudi kwa boss?
4.Je bajaji ikipotea ama kupata ajali kwa uzembe wa dereva nani atawajibika?
Mimi boss ntahitaji kwa siku niletewe 25,000.Naam,hili pia huwa linafanywa mkuu,kama nilivyoelezea ni makubaliano ya boss na msimamizi(Mimi) yeye nikusubiri hesabu tu.
Japo hata weekly or monthly collection Si haba
1. 7.2M - 7.3M eneo/mkoamkuu nifumbue macho kidogo,
1.Bei ya bajaji mpya kwa sasa ni kiasi gani?
2.Kama mkataba wa miaka miwili ili uachiwe bajaji,then daily utakuwa unapeleka kiasi gani kwa bosi?
3.Je bajaji itakuwa inaishi kwako ama baada ya muda wa kazi inarudi kwa boss?
4.Je bajaji ikipotea ama kupata ajali kwa uzembe wa dereva nani atawajibika?
31. 7.2M - 7.3M eneo/mkoa
2. 15-25 eneo/mkoa
3.Chombo ya dereva, Mali ya Boss
4. Dereva (mkataba)/ Boss (hesabu)
3.Je bajaji itakuwa inaishi kwako ama baada ya muda wa kazi inarudi kwa boss?3
4
Sijazielewa vyema ndugu
OK swali nzuri boss.mkuu nifumbue macho kidogo,
1.Bei ya bajaji mpya kwa sasa ni kiasi gani?
2.Kama mkataba wa miaka miwili ili uachiwe bajaji,then daily utakuwa unapeleka kiasi gani kwa bosi?
3.Je bajaji itakuwa inaishi kwako ama baada ya muda wa kazi inarudi kwa boss?
4.Je bajaji ikipotea ama kupata ajali kwa uzembe wa dereva nani atawajibika?
Mimi pia najilipa boss japo waweza kuta ndani ya muda kiasi, maana muda mwingi pesa ya boss ndio inaumiza akili itimie,ndio maana wengi hununu NEW ili kupata at list 25 kila siku kwa siku sitaMimi boss ntahitaji kwa siku niletewe 25,000.
Wewe kama msimamizi unafaidika vipi!?..
mkuu mie nafanya hii business kwa Singida ngoja nitajafanya survey uko mana huko kuna masilahi kidogoNaam, karibu boss kama utajaaliwa
Unajilipaje?.. Kiasi gani!?.. sawa unaweza pewa simamia lakini malipo yako una uhakika yatapatikana?..Mimi pia najilipa boss japo waweza kuta ndani ya muda kiasi, maana muda mwingi pesa ya boss ndio inaumiza akili itimie,ndio maana wengi hununu NEW ili kupata at list 25 kila siku kwa siku sita