Wazo la biashara ya milioni 3

Wazo la biashara ya milioni 3

Joined
Nov 1, 2021
Posts
28
Reaction score
32
Wapendwa niko na ml3 nimepewa na mzazi wangu ili nifungue biashara mahali Dar es Salaam lakini biashara hiyo iwe na uwezo wa kuleta faida laki4 kwa mwezi na iwe nje ya frame wenye mawazo tafadhal mnisaidie.
 
"Iwe na uwezo wa kuleta faida laki nne kwa mwezi" hapa umeshafeli.
 
Wapendwa niko na ml3 nimepewa na mzazi wangu ili nifungue biashara mahali Dar es Salaam lakini biashara hiyo iwe na uwezo wa kuleta faida laki4 kwa mwezi na iwe nje ya frame wenye mawazo tafadhal mnisaidie.
Njoo PM, tuyajenge.
 
Ngoja waje wahusika mkuu wengine waache wakuponde hela ni zako tu
 
Aisee inabidi utulie usichukue kila ushauri utapoteza pesa yote.
 
Wapendwa niko na ml3 nimepewa na mzazi wangu ili nifungue biashara mahali Dar es Salaam lakini biashara hiyo iwe na uwezo wa kuleta faida laki4 kwa mwezi na iwe nje ya frame wenye mawazo tafadhal mnisaidie.
Kwa haraka haraka hapo ukipata eneo zuri fungua zile juicy point naona unaweza ingiza hiyo 15,000/= kwa siku ila fremu hapo haikwepeki na ni vema ukajifunze kwa wanaofanya hiyo biashara kwanza.
 
Tafuta fremu ya 100,000-150,000
Sehemu changamfu.
Tandika
Kkoo zipo meza
Mawasiliano
Makumbusho

Uza nguo hapo.. ukiuza tu piece 5 kwa siku za nguo. Unapata hyo hela na kulipa kodi kwa mwezi.
Ila biashara ya nguo inahitaji uvumilivu na uchangamfu wa hali ya juu sana. Kujua wanachopenda watu na kuleta haraka kwenye eneo lako la biashara.
 
Back
Top Bottom