Wazo: Kiwanda cha kusindika Maziwa (Morogoro)

ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
921
1,800
Vijana popote mulipo hebu tufike mahali tufikiri nje ya box. Tukikaa kulialia eti hakuna fursa wakati wageni wanakuja mpaka wanatucheka. Nilitembelewa miaka ya nyumba na jamaa yangu kutoka Cameroon tukiwa pale posta gorofani baada ya kuiona bahari tu alisema ningekuwa m Tanzania ningeshakuwa bilionea akacheka tukaendelea na Mishe zetu,.
Back to the Topic. Mikoa ya Morogoro inawafugaji wengi kuna fursha ya kuanzisha kiwanda pale juhudi za mmoja mmoja zinaweza zikawa ndoto. Wenye Nia 10 tunaweza pool resources na kuanzisha kiwanda kikubwa tu. La msingi Tuache woga eti wabongo hawaaminiki wakati Kuna namna nzuri za kisheria kuanzisha kampuni ya pamoja.
Guy's nimefanya utafiti wa kutosha hii ishu ni potential natafuta partner 9 tuweze kuanzisha kiwanda.
Note.. Hata kama huna capital let meet and see.
Interested PM tuta exchange mawazo tuki-agree tutaandaa mkutano wa wadau.
 
Wazo zuri sana kiongozi ,swali langu kwako je umeshakuwa na ABC zozote na industry hii?Hapa ningependa walau ungetueleza kidogo kuhusu ukubwa wa mradi na capital ya kuweza kuanzisha uzalishaji.

Twende kazi rubani wetu twaweza vutika
 
Vijana popote mulipo hebu tufike mahali tufikiri nje ya box. Tukikaa kulialia eti hakuna fursa wakati wageni wanakuja mpaka wanatucheka. Nilitembelewa miaka ya nyumba na jamaa yangu kutoka Cameroon tukiwa pale posta gorofani baada ya kuiona bahari tu alisema ningekuwa m Tanzania ningeshakuwa bilionea akacheka tukaendelea na Mishe zetu,.
Back to the Topic. Mikoa ya Morogoro inawafugaji wengi kuna fursha ya kuanzisha kiwanda pale juhudi za mmoja mmoja zinaweza zikawa ndoto. Wenye Nia 10 tunaweza pool resources na kuanzisha kiwanda kikubwa tu. La msingi Tuache woga eti wabongo hawaaminiki wakati Kuna namna nzuri za kisheria kuanzisha kampuni ya pamoja.
Guy's nimefanya utafiti wa kutosha hii ishu ni potential natafuta partner 9 tuweze kuanzisha kiwanda.
Note.. Hata kama huna capital let meet and see.
Interested PM tuta exchange mawazo tuki-agree tutaandaa mkutano wa wadau.
Uwekezaj/mtu ni ngapi kwa hao 9?
 
Inawezekana kabisa maana Tanga fresh na shambani graduates huwa wanapata maziwa ya kutosha sana huko Moro.Kila la kheri mkuu.
 
wazo zuri ila unajua morogoro wafugaji wengi wanafuga kienyeji kiasi kwamba uhakika wa kupata bidhaa mwaka mzima sidhani kama itawezekana!
 
Moja kati ya industry yenye changamoto kubwa sana kuanzia ufugaji wenyewe, marketing, hadi sheria na policy za nchi basi ni sekta ya maziwa sitaki kukutisha ila nataka kukupa uhalisia.
Ushauri wangu fanya UTAFITI WA KUTOSHA kuhusu wazo lako na kisha utajionea wapi uanzie, it's possible!
 
Vijana popote mulipo hebu tufike mahali tufikiri nje ya box. Tukikaa kulialia eti hakuna fursa wakati wageni wanakuja mpaka wanatucheka. Nilitembelewa miaka ya nyumba na jamaa yangu kutoka Cameroon tukiwa pale posta gorofani baada ya kuiona bahari tu alisema ningekuwa m Tanzania ningeshakuwa bilionea akacheka tukaendelea na Mishe zetu,.
Back to the Topic. Mikoa ya Morogoro inawafugaji wengi kuna fursha ya kuanzisha kiwanda pale juhudi za mmoja mmoja zinaweza zikawa ndoto. Wenye Nia 10 tunaweza pool resources na kuanzisha kiwanda kikubwa tu. La msingi Tuache woga eti wabongo hawaaminiki wakati Kuna namna nzuri za kisheria kuanzisha kampuni ya pamoja.
Guy's nimefanya utafiti wa kutosha hii ishu ni potential natafuta partner 9 tuweze kuanzisha kiwanda.
Note.. Hata kama huna capital let meet and see.
Interested PM tuta exchange mawazo tuki-agree tutaandaa mkutano wa wadau.
Wazo zuri, nakupm
 
Wazo zuri sana katika uwekezaji,changamoto inayozijotokeza kwa sisi watu weusi ni pale biashara imekuwa ndipo manyotanyota yanaanza kutokea;lakini naamini kukiwepo na taratibu sahihi za kisheria zinaweza kusaidia kila mmoja kupata haki yake.
 
Nami naona kuwa kumbe upartiner ni ku- PM tuu!
 
Vijana popote mulipo hebu tufike mahali tufikiri nje ya box. Tukikaa kulialia eti hakuna fursa wakati wageni wanakuja mpaka wanatucheka. Nilitembelewa miaka ya nyumba na jamaa yangu kutoka Cameroon tukiwa pale posta gorofani baada ya kuiona bahari tu alisema ningekuwa m Tanzania ningeshakuwa bilionea akacheka tukaendelea na Mishe zetu,.
Back to the Topic. Mikoa ya Morogoro inawafugaji wengi kuna fursha ya kuanzisha kiwanda pale juhudi za mmoja mmoja zinaweza zikawa ndoto. Wenye Nia 10 tunaweza pool resources na kuanzisha kiwanda kikubwa tu. La msingi Tuache woga eti wabongo hawaaminiki wakati Kuna namna nzuri za kisheria kuanzisha kampuni ya pamoja.
Guy's nimefanya utafiti wa kutosha hii ishu ni potential natafuta partner 9 tuweze kuanzisha kiwanda.
Note.. Hata kama huna capital let meet and see.
Interested PM tuta exchange mawazo tuki-agree tutaandaa mkutano wa wadau.
Wazo zuri sana na inawezekana. Nina uzoefu Wa muda mrefu katka kazi iyo.
 
Back
Top Bottom