johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Dogo si uchukuage likizo tu. Yani ujira wa buku 7 ndo unajituma hivi. Pata walau na kutenga wakati na familia yako. Buku 7 ni kidogo sana.Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi.
Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la Kaprikoni kwa kutoza nauli kubwa.
Ikumbukwe juzi alfajiri Waitara alikuwa Magufuli bus terminal Dar, jana alikuwa stendi ya Nyegezi Arusha.
Source: Clouds tv
Akina bwashee pale stendi kuu Moshi mpooo?!!....shimboni!
Itakuwa ni timu ya watu, hawezi kuwa mtu mmoja anayeposti kila sekundeDogo si uchukuage likizo tu. Yani ujira wa buku 7 ndo unajituma hivi. Pata walau na kutenga wakati na familia yako. Buku 7 ni kidogo sana.
Hahahaaaa...... Wewe mbina unanifuatilia kila kona?Dogo si uchukuage likizo tu. Yani ujira wa buku 7 ndo unajituma hivi. Pata walau na kutenga wakati na familia yako. Buku 7 ni kidogo sana.
Wewe inakuuma nini tukidumisha mila na mshikamano?Hahahaaaa...... Wewe mbina unanifuatilia kila kona?
Ndio ujue buku 7 inalipa, umeacha kunywa mbege ya kupokezana hapo kwenu unamfuatilia Yohana!
Yaani Trafiki ama Sumatra wamelala mpaka minister wa kununuliwa aingilie kati swala la nauli?Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi.
Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la Kaprikoni kwa kutoza nauli kubwa.
Ikumbukwe juzi alfajiri Waitara alikuwa Magufuli bus terminal Dar, jana alikuwa stendi ya Nyegezi Arusha.
Source: Clouds tv
Akina bwashee pale stendi kuu Moshi mpooo?!!....shimboni!
Mawaziri waliotoka Chadema ni wachapa kazi sana tofauti na wauza sura wa lumumba!Yaani Trafiki ama Sumatra wamelala mpaka minister wa kununuliwa aingilie kati swala la nauli?
Mila wanadumisha Machame nyie warombo ni Wakinga tu!Wewe inakuuma nini tukidumisha mila na mshikamano?
Qengay
Labda yuko likizo!Waziri unakwenda stand kukagua tiketi...aibu sana...tunategemea waziri kudeal na mipango mizito na sio hizi petty issues...
Kazi ya waziri ni kukagua teketi huu upuuzi unatoka wapi?Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi.
Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la Kaprikoni kwa kutoza nauli kubwa.
Ikumbukwe juzi alfajiri Waitara alikuwa Magufuli bus terminal Dar, jana alikuwa stendi ya Nyegezi Arusha.
Source: Clouds tv
Akina bwashee pale stendi kuu Moshi mpooo?!!....shimboni!
Hahahaaaa......anazunguka tu na ATCL!Kazi ya waziri ni kukagua teketi huu upuuzi unatoka wapi?
USSR
Hawa ndio CHADEMA walisema wamesuka vijana ?hivyo sana anafata pombe tuHahahaaaa......anazunguka tu na ATCL!
True lakkni..Usaliti kwa vipande vya Pesa huondoa dhana ya Uchapakazi ,ni kama vile Jambazi sugu ambae usiku halali na hatmae hujitaarsha kwa ujambazi wake..Mawaziri waliotoka Chadema ni wachapa kazi sana tofauti na wauza sura wa lumumba!
Hapa na wewe hujafikilia kabisa .Huyu Jamaa mbona anachezea kodi zetu namna hii? Hizi gharama za kuruka kwa ndege kwenda kukagua nauli za elfu 30 Kwa return gani?