Waziri Waitara aendelea na ukaguzi wa tiketi za mabasi, leo alfajiri ameibukia Arusha na kulipiga faini ya tsh 500,000 Basi la Kaprikoni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,566
Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi.

Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la Kaprikoni kwa kutoza nauli kubwa.

Ikumbukwe juzi alfajiri Waitara alikuwa Magufuli bus terminal Dar, jana alikuwa stendi ya Nyegezi Mwanza.

Source: Clouds tv

Akina bwashee pale stendi kuu Moshi mpooo?!!....shimboni!
 
Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi.

Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la Kaprikoni kwa kutoza nauli kubwa.

Ikumbukwe juzi alfajiri Waitara alikuwa Magufuli bus terminal Dar, jana alikuwa stendi ya Nyegezi Arusha.

Dogo si uchukuage likizo tu. Yani ujira wa buku 7 ndo unajituma hivi. Pata walau na kutenga wakati na familia yako. Buku 7 ni kidogo sana.
 
Itakuwa ni timu ya watu, hawezi kuwa mtu mmoja anayeposti kila sekunde
 
Dogo si uchukuage likizo tu. Yani ujira wa buku 7 ndo unajituma hivi. Pata walau na kutenga wakati na familia yako. Buku 7 ni kidogo sana.
Hahahaaaa...... Wewe mbina unanifuatilia kila kona?

Ndio ujue buku 7 inalipa, umeacha kunywa mbege ya kupokezana hapo kwenu unamfuatilia Yohana!
 
Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi.

Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la Kaprikoni kwa kutoza nauli kubwa.

Ikumbukwe juzi alfajiri Waitara alikuwa Magufuli bus terminal Dar, jana alikuwa stendi ya Nyegezi Arusha.

Source: Clouds tv

Akina bwashee pale stendi kuu Moshi mpooo?!!....shimboni!
Yaani Trafiki ama Sumatra wamelala mpaka minister wa kununuliwa aingilie kati swala la nauli?
 
Waziri unakwenda stand kukagua tiketi...aibu sana...tunategemea waziri kudeal na mipango mizito na sio hizi petty issues...
 
Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi.

Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la Kaprikoni kwa kutoza nauli kubwa.

Ikumbukwe juzi alfajiri Waitara alikuwa Magufuli bus terminal Dar, jana alikuwa stendi ya Nyegezi Arusha.

Source: Clouds tv

Akina bwashee pale stendi kuu Moshi mpooo?!!....shimboni!
Kazi ya waziri ni kukagua teketi huu upuuzi unatoka wapi?

USSR
 
Huyu Jamaa mbona anachezea kodi zetu namna hii? Hizi gharama za kuruka kwa ndege kwenda kukagua nauli za elfu 30 Kwa return gani?
Hapa na wewe hujafikilia kabisa .
Return hapa Ni kuwapunguzia mzigo wananchi wa kawaida ,kwan Ni wangapi wanaumizwa na hizo nauli?

Waziri hata angetumia m20 kwenye kuzunguka kuhakikisha uhuni Kama huo hauwaumiz wananchi anakua kawashusha mzigo mkubwa maelfu ya wananchi.

Unapowaza ,usimfikirie wazir waza maelfu ya wananchi Kwanza wanaosafiri wanakuwa wamepata nafuu.
Mfano sehem ya kulipa 30 wao watakwambia 50 ,huon wazir anakua kasadia parefu Sana hao wananchi?

Raisi anapoenda nchi za nje na private jet ushawah kuwaza bajet inakua million ngapi per route?Lakin hiyo route inakua na msaada mkubwa kwa wananchi ukilinganisha na million alizotumia kwenda ziara husika
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom