Waziri wa Vijana anaweza fanya vizuri akiwa na working plan. Ita watu wafuatao waje kukuelezea shida ilipo

Waziri wa Vijana anaweza fanya vizuri akiwa na working plan. Ita watu wafuatao waje kukuelezea shida ilipo

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Huyu waziri wa wizara ya vijana anaweza fanya vizuri mno kwa sababu ni miongoni mwa vijana walio tokea upande mwingine wa KISIASA akaenda kujiunga nao Ili akatimize NDOto zake(mie sijui).

Nisiende mbali kwa kweli alivyoanza ameanza vizuri ila NAKSHAURI


Anapoenda ziarani awe na working plan per week

Mathalani anatakiwa kujua alivyoenda chuo vikuu je alienda kuwauliza wanafunzi wanakula hawali? Je wanaboom hawana je wanachelewa kulala au la? Wanafunzi wa vyuo. Vikuu siku hizi wamekuwa wa ajabu sio chimbuko la mjidara mipana kama ilivyoliwa enzi zetu, Sasa hivi sio ajabu kumwona mtu mwenye mastazi anagalala barabarani litumbo nje kama Akina mwijaku uku akiwa na Baba levo wa Darasa la Saba ambae Sasa ni mbunge aliyemshinds MSOMI zitto zuberi kambwe.

WAZIRI anakwenda kuzungumza hapeleki hotuba nashauri

Ebu muhite Max wa jf yaani mkurugenzi muulize vijana zaidi ya 40 waliokosa ajira wakati jf imefungwa wanalishwa na serikali?

NIite Mimi sifi nikuelezeee madhira ya kujiajiri nchini Tanzania baada ya KUFUNGUA kampuni nchini Tanzania kwa Mwaka wa 8 nikuelezeee mbichi na chungu nilizopitia mikisa kumwekea RUSHWA mtumishi wa TRA kwenye ped eti afute madeni kwenye mfumo, madeni ambayo chanzo chake ni Sheria kandamizi kwa wazawa vijana wa tanzania.ili hali wawekezejaji kutoka nje wanapewa tax emption😂.

Muhite yule Mzee pascaly mayala akuelezee madhira aliyokutana nayo baada ya kumuuliza swali zito Hayati Magufuli na kupelekea OFISI zake kufungiwa na kupelekea vijana zaidi ya 40 KUKOSA ajira

Kwa ufupi kutana na vijana tuliojaribu kuwekeza pia nchini mwetu tukuelezee madhira tunayokutana nayo na usnayoganywa na vinara waubiri amani Ili Hali wanatuibia 2.5 bilioni .

Cc Nnauka waziri wa vijana, tunakusubili
 
Kama huyo Nnauka kweli ana utimamu then kwanini yupo CCM? Kwa nini yupo kwenye chama ambacho ukikikosoa asubuhi crusier nyeupe inakuja kukubeba unapotea?
yupo hapo alipo kwaajili ya maslahi binafsi na amefanikiwa.
Hayupo kwaajili ya kutumikia watu wa haki na uwajibikaji.
Hana tofauti na waliongia mitaani oct29 kuua watu
 
Hawa watamfaa
1765133041241.jpeg


1765133115317.jpeg
 
Futa huo ujinga kichwani KIONGOZI mashujuri ni GWAJIMA TU kakemea utekaji hata kwa kupotezwa Mali zake, huyo DOGO usitegemee utekwe aseme futa Hilo kichwani mwako, ikichukia andazi ukalichanganya na mchanga alafu badae ulile eti sababu ni andazi na si mchanga wenyewe itakua na akili?
 
Back
Top Bottom