Ni ngumu kuyafafanua.
Upweke ni jambo la kibinafsi mno, huwezi kuweka mbinu ya kutatua, labda kujenga kituo ambacho wapweke wote watakutana na kusemeshana/kuzungumza.Utamaduni wao wa Mind Your Own Business ndio umezaa huu upweke.
Huku kwetu nenda mahali popote penye watu utapata mtu wa kuzungumza naye na kupiga stori. Uingereza subutu!