Chief wa kibena
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 686
- 394
Prof Mbarawa ambaye pia ni waziri wa ujenz kwa mujibu wa taarifa kwamba majimbo yote ya Pemba yamechukuliwa na CCM, hivyo ina maana kwamba waziri wa ujenzi ameshachaguliwa kuwa mbunge tena kwa sababu naye alikuwa mgombea wa CCM pande hizo.
Sasa wanasheria na great thinkers hebu mtutafsirie hivi hapa itakaaje kwani Mh. Rais tayari ameshamteua kuwa mbunge na ni wazir na sasa amechaguliwa na wananchi kuwa mbunge wao, hivyo ataendelea kutumikia nafasi zote mbili kwa wakati mmoja au itakuwaje?