Waziri wa Nishati uko wapi?

Sezariziki

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
35
Reaction score
2
Habari wana JF
Ni karibu mwezi mzima sasa jimbo la Ubungo especially maeneo ya Kimara kumekuwa na mgao MKALI wa umeme tena bila hata tangazo lolote kwa wananchi.Hivi serikali ya CCM kwa staili hii bado mnasubiria chenu 2015 maana mlishatuahidi tatizo la umeme lita kuwa historia lakini sasa naona mambo yamekuwa tofauti.....
Leteni ukweli hapa.
 
Wanasema AGGREKO imeungua basi mgao kama kawa!!!
 

umeambiwa kumetokea shoti ya umeme kwenye mitambo ya umeme ya SONGAS UBUNGO, sasa unataka taarifa gani?? NDIO MATATIZO YA KUKAA VIJIJINI
 
Kuna itilafu kwenye mitambo ya Gesi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…