Waziri wa Nishati asema Wafanyabiashara wote walionufaika na utapeli na ufisadi wizarani watafikishwa Mahakamani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Naibu Waziri Judith Kapingi amesema kuna Ufisadi ulifanyika Wizarani Kwake pale Tanoil na kwamba TAKUKURU imekamilisha uchunguzi ambapo baadhi ya wafanyakazi watapandishwa mahakamani soon

Kadhalika kundi la Wafanyabiashara walionufaika na Discount iliyosababisha hasara kwa Serikali Watafikushwa Mahakamani

Mh Judith amesema Wafanyabiashara wasijisumbue kumtumia sms, memo au kumpigia Simu

TBC
 
Jua litazama na mambo yataendelea kama juzi.
 
Ni kama anawatishia wabunge wakati wana ikomalia serikali, amejibu as if hao wabunge wana mafungamano na hao wafanya biashara ... nimefuatilia bungeni
 
Naibu Waziri Judith Kapingi amesema kuna Ufisadi ulifanyika Wizarani Kwake pale Tanoil na kwamba TAKUKURU imekamilisha uchunguzi ambapo baadhi ya wafanyakazi watapandishwa mahakamani soon

Kadhalika kundi la Wafanyabiashara walionufaika na Discount iliyosababisha hasara kwa Serikali Watafikushwa Mahakamani

Mh Judith amesema Wafanyabiashara wasijisumbue kumtumia sms, memo au kumpigia Simu

TBC
na yale mavibaraka ya Maandamano kule Mbeya yapigwe, yakamatwe na yaswekwe ndani walau 24hrz
 
Naibu Waziri Judith Kapingi amesema kuna Ufisadi ulifanyika Wizarani Kwake pale Tanoil na kwamba TAKUKURU imekamilisha uchunguzi ambapo baadhi ya wafanyakazi watapandishwa mahakamani soon

Kadhalika kundi la Wafanyabiashara walionufaika na Discount iliyosababisha hasara kwa Serikali Watafikushwa Mahakamani

Mh Judith amesema Wafanyabiashara wasijisumbue kumtumia sms, memo au kumpigia Simu

TBC
Futuhiiiiiiii waziri anaropoka kama buraza k
 
sasa anamwambia nani, nilitegemea kuona tu jumatatu watu wapo kisutu uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, NO DHAMANA..

sisi anatuambia ili iweje, UJINGA kabisa..

NCHI HII INAHITAJI UKOMBOZI TENA IRUDI KWENYE MIKONO YA RAIA, NA HAWA WAJINGA WOTE WAFE NA KUOZEA JELA ZENYE MATESO.
 
IMG_20211228_160309.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom