TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Mwigulu Nchema amesema Bungeni, Baada ya Kuulizwa swali la Kupangwa na Mbunge Stooge anayefikiria na Makalio, Kuwa ati, 1) Wapinzani wakifanya Maafali, Ni Ukaidi wa Kupinga sheria kwa Hiyo watakamatwa Viongozi. 2) Akiuawa Mpinzani na wana CCM kama Alivyouawa Mawazo, Wapinzani Wakienda Kuzika Kinyume na Katazo la Polisi watakamatwa Viongozi, 3) Wapinzani wakifanya Mkutano wa Kuzungumzia Budeget kama alivyotaka Kufanya Zitto Kabwe Ni Uchochezi, Ni Ukorofi watakamatwa Viongozi, 4) Wapinzani wakihoji Kufukuziwa watoto wa watu mitaani, ni uchochezi na Ukorofi, watakamatwa Viongozi. Kwa Maana Nyingine Wapinzani wanatakiwa Kusema Zidumu Fikra za ****** na Dictator Uchwara au Wakae Kimya Hiyo Ndio salama yao. Mimi nasema hapana Ni wakati wa Kupambana na Kila OCD, Kila Mkuu wa Wilaya, Kila RPC na Kila Mkuu wa Mkoa anayefanya Kazi Kama Mbeleko Inayonuka ya ya CCM.
Wanapata Madhara gani, Yanayoletwa na Nani? Kusimamia Sheria Gani? Aliyesimamia Matusi juu ya Lowassa asimamie sheria ya Kutukana. Kufuata Sheria Kungefaa Kama Kungemzuia Magufuli Kumteua Mhalifu Muhongo sio Kusikiliza Whatzup, Kufuata sheria ni Kuchukulia hatua Lugumi waliokula njama Kuiba Pesa Bil 37 kwa Kisingizio cha tenda ya alama za Mikono. Na baada ya Kugundulika badala ya Kuadhibiwa kwa Kumtumia Stooge Tulia Ackson Wezi hawa wakatolewa mlango wa Nyuma! Kufuata Sheria Ni Kutodanganya Bunge Juu ya TBC, Kufuata Sheria Ni Kuwakamata waliomtesa Ulimboka, Kufuata Sheria Ni Kuwakamata waliomuua Mawazo, sio Kuzuia asizikwe. This is Sick!