Waziri wa Mambo ya Ndani Dk Nchimbi Atua Zenj, Akemea Vitendo vya Vurugu

.....ningekua ZNZ leo ningempiga mawe huyu....

Kiukweli kabisa...

Nchi yachezewa sana hiii.....
 
acheni mawazo finyu, Zanzibar waliingia kichwakichwa kwenye muungano.kwa staili ile ile yakishamba walioingilia hata kujitowa wanajitowa kimugandomgando,mana mbinu wanayotumia haiwezi kuwasaidia,hawa jamaa vilaza sana
 

Muandishi nina shaka kama hii picha ni ya kwenye tukio hilo,correct me.
 
Patamu hapo!

Waziri wa upande wa pili!

Mpoole, anatia huruma masikini eti "Tutawasubiri nje ya misikiti" hahahahahahahahahaaaaaa

Kazi kweli kweli.
 
Waziri Nchimbi aliwasili Mjini Zanzibar akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi,Inspekta Jenerali Said Mwema kwa pamoja waliitisha mkutano uliowakutanisha viongozi wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar(JUMAZA),Mabalozi,Kamisheni ya Utalii, Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam Zanzibar(JUMIKI).

Waziri Nchi alisema busara ya Polisi imefikia kikomo na kwamba atashangaa sana akiona busara hiyo ikiendelea wakati kuna watu au kikundi kinavunja amani ya nchi.

Tangu Jk ainge madarakani , mauji ya Kipumbavu kama ya MWEMBECHAI, PEMBA na mengine yasiolazima yamepungua. Juu ya baadhi ya watendaji kama NCHIMBI wakitamani hali hio iendelee wanajikuta wakikwama. Hongera JK
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Dk. Emmanuel Nchimbi ametua Visiwani Zanzibar leo ambapo amekemea vitendo vya vurugu,akiahidi Serikali kuwachukulia hatua ikibidi hata kuwavizia nje ya misikiti kwa wale watakaohusika na uvunjifu wa amani .

Waziri Nchimbi alisema busara ya Polisi imefikia kikomo na kwamba atashangaa sana akiona busara hiyo ikiendelea wakati kuna watu au kikundi kinavunja amani ya nchi.

Anapenda akiona Askari kutoka bara kuwaua waislam? Hivi anataka yatokee kama ya Mwembechai?
jee Mkoa wake, kwenye familia yake anaweza kuamrisha Polisi ?
HUU SI UDINI TUNAOKATAA KUTOKA VIONGOZI HAWA?
 
Kinachokusumbua ni udini, full stop. Hakuna rationality kwenye uliyoandika. Unataka kwa sababu rais ni mwislamu basi awaache waislamu wafanye watakavyo nchini! Je huo ni uwajibikaji? Hakuna sheria iliyoandikwa kwa ajili ya dini fulani, iwe Mwembechai au Efatha, mvunja sheria yeyote asichekewe.
 
Wewe ndiye mjinga. Hujui kujenga hoja. Kama wanaohusika na fujo ni wavaa kanzu yeye afanyeje?
 
Kujadili ishu ya zenji ni lazma mwisho wa siku mtatupiana maneno ya kashfa za kidini tu.
Ni bora kunyamaza tuu.
 
CCM walitumia Green Guard wakaona hailipi!! Wakatumia Bakwata wakaona haifai! Sasa wameparamia Uamsho ili kuleta mitafaruku ya kidini. Ni dhahiri wanajua upepo wa kisiasa si mzuri na hivi, wanataka wapate support ya waislam! Ndio maana sambamba na uamsho, suala la mahakama ya kadhi sasa liko jikoni. Mungu ibariki Tanzania!!

 

wewe ni mpumbavu sana.... kwahiyo mauaji na kuchoma makanisa ndio sawa eh?? yale ya arusha, mbeya, arumeru, igunga ndio sawa eh??

watu wamevumilia uchomaji wa makanisa usiokwisha kwasababu tuna waislamu watano wanaoshika nafasi za urais tanzania [KJ, Sheni, Sefu, Yule wa CCM zenji na Bilal]
 
Kwa kuwa wanaofanya vitendo hivyo vya kigaidi ni wavaa vipedo na kufuga midevu waogopwe? Wacha wabondwe tu. Hoja yao ya kudai Zanzibar ni haki yao lakini njia wanayopitia ya kutumia Uislamu na kulipua makanisa inawaweka pabaya na kuudhalilisha Uislamu.
 

Umetumwa ulete pumba zako hapa eti....!
 
Akiwa kama Waziri mwenye Dhamana ya kulinda amani ya nchi pamoja na kuhakikisha usalama wangu na wako hana budi kuchukua hatua stahiki ili kukomesha ujinga huo mnataka kutuletea BOKA HARAM!!? tena inabidi serikali iongeze nguvu kabala wakirsto hawajaishiwa na uvumilivu kabisa.
 
Mmmmh kumbe weye ndio mdini sasa, afu kwani Waziri alisema ataleta askari kutoka bara waje kwa ajili ya kuuzima huo wehu wenu?
Je Z'bar hakuna askari hadi waje wa bara kuwafunza adabu, kwani walio wanyuka juzi ni askari kutoka bara, na hata kama ikiwa hivyo au ikibidi iwe hivyo mnastahili kufunzwa adabu huo ni upuuzi na fikra mgando ndizo zimekujaa; Kwa kuchoma makanisa na wao au sie huku bara tukiamua kuanza kuchoma misikiti mwadhani Nchi itakalika hii, acheni kushabikia mambo ya kipumbavu; hebu kaoge!!
 

watu waruhusiwe kujadili muungano bila masharti ikiwemo hoja kama umepitwa na wakati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…