Waziri wa Magufuli, Charles Tizeba alazimisha "DILI" kwa wakulima wa Korosho

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
c5cef498a9e971e657d2378718e4399a.jpg

Kama kilichoandikwa na Gazeti la Mwananchi ni kweli, basi Waziri anatakiwa kuueleza umma alikuwa na lengo gani na nini faida yake kwa wananchi.

Vinginevyo, hakuna budi awajibishwe kwa matendo yake!
 
Mfuko wa korosho ulishageuka dili la kupigia hela, makosa ya waziri (kama yapo) kuhusu zabuni, hayawezi kujustify kuwa mfuko hauna matatizo!!!!
 
Back
Top Bottom