WAZIRI WA KILIMO

WAZIRI WA KILIMO

dabaga6

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
244
Reaction score
271
MHESHIWA;
Kukodi shamba eka 1@50,000
Kulima eka 1@50,000
Mbegu eka 1. 1kg@6000×8=48,000
Kupanda eka 1@12,000
Mbolea DAP Mfuko 1@55,000
Palizi eka 1@40,000×2=80,000
Mbolea UREA kukuzia 1@40,000
Mbolea CAN kukuzia 1@40,000
Dawa ya wadudu 1@12,000
Kuvuna 1@15,000
Kupukuchua gunia 20@2,000=40,000
Kutoa shamba gunia 20@1,000=20,000.
........Jumla ni....462,000

WAZIRI WA KILIMO
Ushauri...
..Nashauri msimu wa Mavuno serikali inunue mazao kwa wakulima kwa bei elekezi wastani 60,000 kwa gunia. Halafu wafanyabiashara wote toka nje mfano Kenya waelekezwe kwenye maghala ya serikali kwa mfano 80,000 kwa gunia. Serikali ikiona umuhimu wa kuongeza bei nje mfano 100,000 kwa gunia, basi na kwa mkulima wanaongeza inakuwa 80,000. Serikali ikiona chakula kwa mkulima kinapungua sana inapunguza kutoa nje na inapunguza kununua kwa mkulima pia.
...Uratibu ufanywe kwa kila mkoa. .
Hiyo itasaidia kumfanya mkulima azidi kupenda kilimo...
...kama ilivyofanya kwa korosho vile
.....Hata kijana akiambiwa akalime atakwenda
.....Namkumbuka Prof mmoja alikuwa Morogoro alipovuliwa madaraka na Mh Rais alilia kabisa. Hiyo inatoa taswira kuwa mtaani pabaya kumbe ni mamlaka inatakiwa iandae utaratibu rafiki kwa vijana.
......VIJANA WENZANGU PAMOJA..
........Nawasilisha Mada .....
 
Back
Top Bottom