Waziri wa fedha usidanganye bunge

Waziri wa fedha usidanganye bunge

gesselle

Senior Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
171
Reaction score
51
Leo nimeshangaa sana wakati waziri wa fedha alipokuwa anatoa muongozo Kwa kusema mshahara wa watumishi ulitolewa tokea tarehe 24/5. Ila mifumo ya benk Imechelewesha. Mpaka Leo ndio baadhi ya mikoa watumishi wameanza kupata mishahara dar Es salaam tarehe mbili Baada ya walimu kumibia rais hawajapata mishahara ya mwezi wa Nne. Kauli aliyoitoa waziri ni yauongo sababu benk haikupokea hizo TT Kwa wakati Kwa sababu zifuatazo. Benk ikiwa Imechelewesha mishahara wanatumia fedha zao kulipa mishahara hiyo mfano ni mwezi September 2008 benk ili lips mishahara bila kuwepo Kwa payroll ya mwezi huo pili kama tatizo lingekuwa la benk basi wasinge charge interest Kwa wenye mikopo Na benk. Kwahiyo waziri asidanganye ummaseme ukweli kwamba serikali haikuwa Na fedha Kwa wakati huo mdana wamechelewesha mishahara


Nitasema kweli daima
 
Back
Top Bottom