Waziri wa Elimu atinga Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala

Joined
Oct 10, 2014
Posts
14
Reaction score
4
Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa elimu bw kawambwa atinga kampala int university,ni mishale ya saa nne asubuhi hadi saa kumi na moja jioni,atumia masaa sita kuongea na utawala wa chuo na dk 45 tu kuongea na wanafunzi akidai anawahi uwanja wa ndege ana safari hoja yake ikiwa kwamba hakuja kuonana na wanafunzi wote bali wachache ambao wangewawakilisha health science wote.wanafunzi wagoma kupeleka wawakilishi kwa kuwa mara zote wanaokuwa wawakilishi huishia kufukuzwa chuo, hivyo wanafunzi walikaa nje ya chuo wakimsubiri waziri ili aongee nao wahanga halisia kwa kuwa tayari kuna wanafunzi ambao siyo wa health science walioonana na waziri kwa niaba.waziri akakubali kuongea na wahanga halisia na majibu ya maswali aliyoulizwa ndani ya dakika 40 ilikuwa hivi...,

#Mh tunaomba tamko lako kuhusu usajili wa kozi za afya za chuo hiki zitakamilika lini na tutaanza kutumia mitaala mpya inayoendana na vyuo vyetu vya ndani?

waziri,

*chuo chenu ni cha kimataifa na kinaendesha taratibu zake kimataifa kwa sababu kimeshapewa kibali na tume husika(TCU) kitatoa mafunzo kutoka main campus uganda na mitaala yake imeakikiwa na kupitishwa na wataalamu(maprofesa wa pale UDSM) hivyo mitaala yake ni halali na inakubalika na TCU(chombo pekee chenye mamlaka hayo nchini) kwa hilo ondoeni shaka(akaonyesha barua ya TCU kudhibitisha ya mwaka 2012 ).pia niwatoe wasiwasi tu kuwa si ninyi tu mnaotumia mifumo ya kimataifa kuna agha khan inayotumia mitaala ya agha khan main campus ya afghanstan,kuna jomo kenyatta cha kenya na wanafunzi wale tunawapokea wala hakuna shida.

#Mh kwa kuwa chuo chetu ni cha kimataifa lakini kimo tanzania vp kuhusu adha ya kubadili vyeti pale TCU kwa kuwa huchukua muda tofauti na wanafunzi wa ndani ambapo huchukua takribani miaka miwili na pesa pia hili utatuaidiaje?

waziri,

*Kweli hili ni tatizo lakini nimeshaagiza taasisi za NACTE na TCU kubuni utaratibu utakaopunguza adha hii.

#Mh kwa kuwa serikali imeshatoa tamko kuhusu ada kupunguzwa kwann ada kampala bado iko juu sana na serikali haijachukua hatua yeyote?

waziri,

#Hili ni tatizo lakini utatuzi wake siyo rahisi hivyo kwa kuwa chuo hutoza ada kulingana gharama inazotumia kujiendesha,lakini serikali inafanya jitihada kutatua tatizo hili na imeshaunda tume ya kufuatilia gharama halisi kwa mwanafunzi anayesoma fani yeyote katika chuo chochote nchini ili kupata uwiano halisi wa ada kwa vyuo vyote nchini na taarifa tayari wameshatoa imebaki utekelezaji huu na utekelezaji unafanywa na TCU,naiagiza TCU kufanya hivyo mapema kabla ya mwaka huu kuisha.mnajiuliza kwann serikalini na private university kuna tofauti kubwa hii ni sababu serikalini serikali inalipa kiac fulani cha ada kwa wanafunzi ili kuwapunguzia mzigo wanafunzi hao.

#Mh vp kuhusu uhalali wa bridging course inayotolewa kampala inatambulika na je wanafunzi waliomaliza wa vyeti ambao hawaajiliwa serikali inawasaidiaje?

waziri,

*Uzuri nimeandamana na maafisa wangu wa TCU na NACTE,naomba ujibu mh(mkurugenzi wa nacte jina nimesahau),akajibu "bridging course inatambulika kihalali lakini ni kwa wanafunzi ambao wanaufaulu hafifu,wakisoma kozi hii wanaweza kuendelea na kusoma certificate lakini angalizo kwa wale ambao hawajasoma masomo ya sayansi hata wakisoma hawatatambulika"waziri,nadhani mmemsikia hakuna haja ya kujadili tena.
suala la waliomaliza halikuzungumzwa alisema muda umeisha naenda aiport.

#Mh kwa kuwa kampala kimeshindwa kutatua matatizo tunaomba serikali ituhamishe?

waziri,

*Kwa hilo suala la kuhama nisiwadanganye ni kwamba haliwezekani kwa kuwa ni wengi mno,mtaenda wapi?

Maswali haya yaliulizwa na watu 3 tu akidai muda,na kujibiwa kwa dk 40.muda wote alipokuwa akiongea alitanguliza neno msinizomee kwanza mpaka nimalize,hakuruhusu maswali ya papo kwa papo.

Jambo la nyongeza alilosema,
chuo chenu ni international lakini kiko katika mchakato wa kubadilishwa kuwa local university na mchakato uko hatua za mwisho na wenzenu wanaowafuata watasoma katika mfumo wa local university.
vp kuhusu waliopo,anajua mwenyewe maana hakusema.

akamaliza kwa kusema nimepita nimeona uhalibifu mliofanya lakini nimekiomba chuo kuharakisha maamuzi yao ya kinidhamu iliyofanya na wameniahidi ndani ya wiki ijayo baadhi ya watu wataanza kusoma na wengine kujaza fomu,chuo kitawachukulia hatua baadhi ya watu hilo ni suala la chuo hatuwezi kuwaingilia wala kumsaidia mtu ila nitasimamia haki.

Labda tu niwahakikishie kuwa mm ndiye top hakuna linaloweza kufanywa bila mm kuamua katika elimu na kupitia sehemu au mtu ambaye si sahihi sio suhulisho la matatizo yenu,mara zote mtakapokuwa na mataizo wa kuniona ni mimi na si mtu mwingine.

HUYO NI MH WAZIRI WA ELIMU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
 
waziri oyeeeeee sasa vijana tulieni subirini utekelezaji japo wengi wao mlitamani muamishwe komaeni hapo hapo kambi popote vijana acheni uoga.
 
Wazir amejibu kisiasa sana binafsi sijakubaliana naye ikiwezekana nimpate mwajil wake haki haijatendeka kabisa
 
Habar zenu wana jf samahanin nlkua nahitaj msaada wenu kama mtu anaitaji kwenda kusomea udoctor kwa kutokea o level anafanya process gan??
 
Amesahau na huku kwenye job market. Maana nasikia huwa serikali inakataa kuajili graduate wa hapo. Isije tokea kama ya IMTU
 
Nenda Kamwambie bibi mzaa babu yako hayo maneno
ndo maana unaona PCB na PCM n ngumu sabab hata maneno yako yanaonesha huiwezi unawatisha wenzako unataka washindwe kama wewe au unadhan sijaisoma et eeh
 
Back
Top Bottom