Waziri Ummy amepwaya kwenye nafasi yake

Waziri Ummy amepwaya kwenye nafasi yake

Utawala2025

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2023
Posts
1,144
Reaction score
2,758
Habari.

Nikiwa mtanzania mkereketwa katika shughuli za kimaisha kila siku. Naomba niseme kitu nafasi ya uwaziri wa afya aliyonayo Ummy mwaimu imumpwaya kwa sasa.

Kuna mambo machache yamemtoa mchezoni.

1. Kuondoa bima ya watoto.

2. Kujenga Hospitali nyingi na vituo vya afya lakini kukosekana kwa watumishi wa afya wa kutosha.

3. Wizara yake ya afya imekuwa ikifanya kazi kwa viclip vinavyopostiwa na Mange kimambi na kusahau kuingia mzigoni wenyewe.

4. NHIF kutowalipa kwa wakati wamjliki wa hospital na vituo vya afya na NHIF kuendelea kuondeshwa kwa hasara kubwa sana.

5. Kukandamiza watumishi wa afya kwa Sera walizozitengeza wenyewe. Kusema mama mjamzito kujifungua bure ni Uongo na pindi tatizo linapotokea katika jamii la mama mjamzito kufa watumishi wa umma ndo wenye makosa.

6. Maneno mengi vitendo 0
 
Hyu waziri angefaa kama angekuwa mwandushi wa habari wa wizara na sio maziri maana naona ndo jukumu alolijitwika
 
WAZIRI kama muimba taarabu,analeta sera za hovyo afya(soma mwongozo mpya bima ya afya),Kila sehemu vilio ,Bohari ya dawa inaendeshwa kisiasa na isiyo na mafanikio,Bima ya afya imekua sio msaada kwa wanufaika ,watumishi wa level Moja(elimu sawa) wanalipwa posho na mishahara Tofauti kutegemea huko seriikali kuu ama serikali za mitaa hii inashusha morali ya kazi Kwa watumishi,majengo mengi yasiyo na watumishi(hawaajiri watumishi)majuzi tumeona kwenye TV kituo kimoja kina watumishi 2 tu(mambo yaajab kabisa) wanafunzi wa vyuo vya afya changamoto nyingi,maduka ya dawa mtaani yenye watumishi fake ,ingia mtaani WAZIRI ujionee changamoto sio kushinda kwenye mitandao ya kijamii
 
Majuzi kuna mwalimu(mtumishi ),jirani yangu kaenda kutibiwa hospitalin akaambiwa bima yako inatakiwa ikaakikiwe mkoani,yeye yupo wilaya!!,yaani asafiri zaidi ya km 125 kwenda kuakiki bima ofisi za mkoani,,hii imekaaje,,? na sio huyo tu wengine waliofuata,km Kuna hilo zoezi la uhakiki wa bima Kwa nini wasiangalie utaratibu unaofaa Ili kuwaondolea wanufaika wa BIMA usumbufu usio wa lazima
 
Habari.

Nikiwa mtanzania mkereketwa katika shughuli za kimaisha kila siku. Naomba niseme kitu nafasi ya uwaziri wa afya aliyonayo Ummy mwaimu imumpwaya kwa sasa.

Kuna mambo machache yamemtoa mchezoni.

1. Kuondoa bima ya watoto.

2. Kujenga Hospitali nyingi na vituo vya afya lakini kukosekana kwa watumishi wa afya wa kutosha.

3. Wizara yake ya afya imekuwa ikifanya kazi kwa viclip vinavyopostiwa na Mange kimambi na kusahau kuingia mzigoni wenyewe.

4. NHIF kutowalipa kwa wakati wamjliki wa hospital na vituo vya afya na NHIF kuendelea kuondeshwa kwa hasara kubwa sana.

5. Kukandamiza watumishi wa afya kwa Sera walizozitengeza wenyewe. Kusema mama mjamzito kujifungua bure ni Uongo na pindi tatizo linapotokea katika jamii la mama mjamzito kufa watumishi wa umma ndo wenye makosa.

6. Maneno mengi vitendo 0
Namba 1, ebu jaribu kwenda kampuni yoyote ya bima ukakatie gari yako bima baada ya ajali halafu utake kulipwa na hiyo kampuni kama watakubali,Wazazi wengi wanaenda kuwakatia bima watoto wakishaanza kuumwa na wanaendelea na matibabu na bado unalaumu NHIF inaendeshwa kwa hasara!
 
Kwani Waziri anafanya kazi peke yake. Ndiyo maana inaitwa Wizara na Ina Kila idara na wataalamu wake. Sasa Kila kitu waziri. Uelewa finyu
 
Habari.

Nikiwa mtanzania mkereketwa katika shughuli za kimaisha kila siku. Naomba niseme kitu nafasi ya uwaziri wa afya aliyonayo Ummy mwaimu imumpwaya kwa sasa.

Kuna mambo machache yamemtoa mchezoni.

1. Kuondoa bima ya watoto.

2. Kujenga Hospitali nyingi na vituo vya afya lakini kukosekana kwa watumishi wa afya wa kutosha.

3. Wizara yake ya afya imekuwa ikifanya kazi kwa viclip vinavyopostiwa na Mange kimambi na kusahau kuingia mzigoni wenyewe.

4. NHIF kutowalipa kwa wakati wamjliki wa hospital na vituo vya afya na NHIF kuendelea kuondeshwa kwa hasara kubwa sana.

5. Kukandamiza watumishi wa afya kwa Sera walizozitengeza wenyewe. Kusema mama mjamzito kujifungua bure ni Uongo na pindi tatizo linapotokea katika jamii la mama mjamzito kufa watumishi wa umma ndo wenye makosa.

6. Maneno mengi vitendo 0
Kwa Maoni yangu, Waziri Ummy ni;

1. Born Leader Naturally
2. Nyota yake inang'aa nyeupeeeee
3. Waziri anayefaa kwenye eneo la Afya
4. CCM ndio chama lake
5. Amegeuza Wizara ya Afya kuwa Yenye hadhi na ndio maana mnamshambulia
6. Ameokoa maisha ya watanzania kwa kuwezesha vituo kujengwa kila mahali Tanzania

Ukimsema kwa sababu ya kazi anazofanya basi wewe ni mwehu. Hii Wizara alivohamishwa ikaonekana haiwezekani kwenda bila Yeye akarudishwa chap.

Kuhusu NHIF.

KONGA tumpe maua yake ... Amelivusha Taifa kwenye janga la kukosa huduma za afya. Twende taratibu ..

NHIF inachangia pato la vituo vyote vya matibabu nchini kwa asilimia 80 - 90, hakuna kituo kinaweza kuja kusimama kusema kijiondoe na huduma za NHIF ... If there is ajitokeze .. Hii yote kwasababu Konga na Timu yake wame fight kuweka mikakati ya kuokoa shirika ...

1. Kuwa na msimamo katika maamuzi ili kuokoa shirika na kuanguka ni kazi ya Konga
2. Kuwezesha upitishwaji wa Bima ya afya kwa wote ni kazi ya Konga na Timu yake na Wizara
3. Kuanzisha Vifurushi vya Bima ya Afya ambavyo vinanufaisha watanzania ni kazi yao

Muwe mnaandika kama mnajua vitu sio kutukana tu Shenzi kabisa
 
ni lini alisha wahi kufanya vyema?
 
Majuzi kuna mwalimu(mtumishi ),jirani yangu kaenda kutibiwa hospitalin akaambiwa bima yako inatakiwa ikaakikiwe mkoani,yeye yupo wilaya!!,yaani asafiri zaidi ya km 125 kwenda kuakiki bima ofisi za mkoani,,hii imekaaje,,? na sio huyo tu wengine waliofuata,km Kuna hilo zoezi la uhakiki wa bima Kwa nini wasiangalie utaratibu unaofaa Ili kuwaondolea wanufaika wa BIMA usumbufu usio wa lazima
Taratibu kwenye huduma lazima zifuatwe bila kujali ulipo naamini hao NHIF wana njia nyingi za mawasiliano na sio lazima kwenda usichafue taasisi kwa uzembe wako kufuata maagizo
 
Kwa Maoni yangu, Waziri Ummy ni;

1. Born Leader Naturally
2. Nyota yake inang'aa nyeupeeeee
3. Waziri anayefaa kwenye eneo la Afya
4. CCM ndio chama lake
5. Amegeuza Wizara ya Afya kuwa Yenye hadhi na ndio maana mnamshambulia
6. Ameokoa maisha ya watanzania kwa kuwezesha vituo kujengwa kila mahali Tanzania

Ukimsema kwa sababu ya kazi anazofanya basi wewe ni mwehu. Hii Wizara alivohamishwa ikaonekana haiwezekani kwenda bila Yeye akarudishwa chap.

Kuhusu NHIF.

KONGA tumpe maua yake ... Amelivusha Taifa kwenye janga la kukosa huduma za afya. Twende taratibu ..

NHIF inachangia pato la vituo vyote vya matibabu nchini kwa asilimia 80 - 90, hakuna kituo kinaweza kuja kusimama kusema kijiondoe na huduma za NHIF ... If there is ajitokeze .. Hii yote kwasababu Konga na Timu yake wame fight kuweka mikakati ya kuokoa shirika ...

1. Kuwa na msimamo katika maamuzi ili kuokoa shirika na kuanguka ni kazi ya Konga
2. Kuwezesha upitishwaji wa Bima ya afya kwa wote ni kazi ya Konga na Timu yake na Wizara
3. Kuanzisha Vifurushi vya Bima ya Afya ambavyo vinanufaisha watanzania ni kazi yao

Muwe mnaandika kama mnajua vitu sio kutukana tu Shenzi kabisa
Mnajizima data eeh kuwa bila NHIF hakuna vituo hasa vya binafsi vyote vinategemea mapato nhif na ndio maana mnaipiga vita nhif kwa kusimamia taratibu zake.

Waacheni wafanye kazi yao
 
Back
Top Bottom