Waziri na Mkuu wa Mkoa nani mwenye nguvu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,817
Ni nani kati ya hao mwenye nguvu zaidi? Yaani je Waziri ana uwezo wa kumuarisha Mkuu wa Mkoa kufanya jambo fulani na kinyume chake?
 
waziri ni mkubwa kuliko mkuu wa mkoa. Kwenye kitabu cha siasa darasa la tano kulikuwa na mtiririko wa serikali kuanzia Rais hadi mtendaji wa kijiji.
 
Last edited by a moderator:
Serikali ya sasa inafanya mambo kwa mihemko tu, si ajabu kusikia secretary anamuamrisha bosi wake jinsi ya kupanga taratibu za kazi.
 
Wala huitaji kuuliza, wazuri mkuu hana mipaka ya kimkoa kama mkuu wa mkoa alivyo.
 
MB
Serikali ya sasa inafanya mambo kwa mihemko tu, si ajabu kusikia secretary anamuamrisha bosi wake jinsi ya kupanga taratibu za kazi.
MBUNGE NA WAZIRI NANI MWENYE NGUVU,
INAKUWA JE BUNGE LINAWEZA KUMSIMAMISHA WAZIRI MKUU KM LEMA ALIVYOSEMA HAPA
 
Serikali ya sasa inafanya mambo kwa mihemko tu, si ajabu kusikia secretary anamuamrisha bosi wake jinsi ya kupanga taratibu za kazi.
... Kweli bhanaa, kumbe hata wewe unajua?... secretary analetwa naye pia sijuiii!...
 
Back
Top Bottom