Waziri Mwakyembe peleka Mrejesho wetu huu Sisi wana Simba SC kwa wale wenye Chuki Wenzio na Mwekezaji wetu Mo Dewji

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kwakuwa nia yenu ni Kumkomoa Mo Dewji na mmesema kuwa mnataka Wawekezaji wawe Watatu ili wote wapate Mjumuisho wa Umiliki wa 49% kwa Klabu yetu basi na Sisi wana Simba SC wenye Akili kubwa, pana na nyingi tumeamua yafuatayo….

Mo Dewji atamiliki Hisa za 30%

Gullum Dewji atamiliki Hisa za 10%

Fatma Dewji atamiliki Hisa za 9%

Jumla yake ni 49%

Sasa njoo na lingine tena ili utujue vyema Sisi wana Simba SC.

Tumekuvumilia vya Kutosha na tumekuchoka. Nitahakikisha nakupiga Zengwe hadi Rais JPM akutumbue hapo ulipo kwani umeonyesha una Chuki za wazi wazi na Simba SC yetu japo kwa Unafiki wako mkubwa unajifanya Wewe ni Mwenzetu ( Mwana Simba SC ) wakati kumbe Kiuhalisia Wewe ni Yanga SC kindakindaki.

Na Mimi cleverbright nasema usisumbuke kabisa kuja katika Kilele chetu cha Simba Day tarehe 6 kwani tutakuzomea Uwanja mzima kwani tumeshakugundua kuwa Wewe ndiyo Adui Namba Moja wa Simba kisha unafuatiwa na Mzee Kilomoni na anamalizia Ismail Aden Rage.

Umeshatutibua wana Simba SC wote!
 
Hivi bongo hakunaga ule utaratibu wa ku_sign petition, .
Zitafutwe sahihi milion moja zinatoshaa kumwajibisha huyu mhujumu.

Inabd ajue anaongoza wenye akili timamu, na sio kutuamulia mambo kama sisi ni watoto wadogo
 
Niko na wewe kabisa huyu jamaa sijui kawaje na akija Simba Day ataumbuka aisee.Watu wanammaindi kinoma noma dadeki.

Tena kwa minong'ono ya Watu huku mingine ikiwa ni mibaya sana hata kwa Usalama wake mzima na wa Familia yake namshauri asithubutu kabisa Kujitokeza hiyo Simba Day tarehe 6 kwani kwa jinsi Watu walivyojawa na Hasira nae Kali kuna uwezekano lile Tukio lililomtokea Rais Kennedy wa Marekani pale Uwanja wa Ndege likamtokea na Yeye. Halafu anajifanya ni mwana Simba SC Mwenzetu wakati kumbe ni Mnafiki mtupu na ni mwana Yanga SC mzuri tu.
 
Hivi bongo hakunaga ule utaratibu wa ku_sign petition, .
Zitafutwe sahihi milion moja zinatoshaa kumwajibisha huyu mhujumu.

Inabd ajue anaongoza wenye akili timamu, na sio kutuamulia mambo kama sisi ni watoto wadogo

Alilokuwa akilitafuta kwa wana Simba SC atalipata Mkuu Wewe tulia tuli tu! Labda amesahau kuwa Simba na Yanga ndiyo Tanzania na Simba na Yanga ndizo zinaamua nani awe Rais nchi hii na Simba na Yanga pia zina Mchango mkubwa sana katika Mikakati yote ya Kimaendeleo ya nchi hii na asisahau kuwa hata hizo Kura sijui Milioni Nane ( kama zilikuwa za Ukweli ) alizozipata Bosi wake Mkuu na leo ndiyo anatuongoza Watanzania yawezekana Kura Milioni Nne zilikuwa za Wanasimba watupu na zilizobaki Kura Milioni Nne zilikuwa za Washamba ( Mambwiga ) Yanga. Acheze na Timu zote lakini akae mbali mno na hizi Timu Kongwe mbili Simba na Yanga. Hivi hajui kwamba kama wana Simba SC wote wakihimizana hakuna Kupiga Kura au Kumuunga Mkono Bosi wake au Kushiriki katika Jambo lolote lile la Kimaendeleo nchi itasimama na hadi kutikisika?
 
MO ni mtoto wa mjini lkn sijui kwanini hataki kuelewa hili suala.

Kwa mtizamo wangu wa ki-layman.

Serikali haitaki Simba/Yanga imilikiwe na mtu mmoja/familia moja maana inaona ni hatari sana iwapo ikitokea mmiliki akaamua ku-influence wanachama kwenye vitu kama vya siasa(sababu simba/yanga zina wapenzi mamilioni hapa nchini),so itakua ni national threat.

So hii hali ya Yanga/Simba kubaki kua timu za wananchi a.k.a za kulia lia shida itabaki hivyo hivyo since system ime-design hali kua hivyo.
 
Maamuzi ya club yanafanywa na wenye klabu bila kukiuka sheria yoyote ya nchi.ikumbukwe kwamba simba ilikua na mchakato wa kubadili mfumo,na huu mchakato ulihusisha taasisi mbalimbali ikiwa ni za serikali na za kiraia..ikimbukwe pia kwenye huu mchakato kulikua na ubadilishaji wa vifungu vya katiba ya simba ili kuendana na mfo mpya wa hisa,serikali ilishirikishwa na ndo maana hata waziri mwenyewe alitoa maoni yake na yalifuatwa,mwanzoni ilikia 51 kwa 49 ambapo 49 zilikua za wanachama ila kwa ushauri wa waziri(serikali)walitaka iwe kinyume chake na hilo lilifatwa..katiba ya simba imesajiliwa kisheria nadhani ili kuyabadili hyo na kufata anayoyataka waziri basi kutahitajika kuitsha mkutano mkuu na wanachama kuridhia,kitu amabacho kitakuwa kigumu wenye timu hawatakubali na mpango wa waziri utakua umekwama.

Ifike mahali tubadilike simba kwa miaka yote hiyo hawakua na uwanja hata wa mazoezi mwaka mmoja tu wa mo maendeleo ya uwanja tayari angalau yanaonekana.tuache siasa kweye mpira ili tusonge mbele.
 
Kwakuwa nia yenu ni Kumkomoa Mo Dewji na mmesema kuwa mnataka Wawekezaji wawe Watatu ili wote wapate Mjumuisho wa Umiliki wa 49% kwa Klabu yetu basi na Sisi wana Simba SC wenye Akili kubwa, pana na nyingi tumeamua yafuatayo….

Mo Dewji atamiliki Hisa za 30%

Gullum Dewji atamiliki Hisa za 10%

Fatma Dewji atamiliki Hisa za 9%

Jumla yake ni 49%

Sasa njoo na lingine tena ili utujue vyema Sisi wana Simba SC.

Tumekuvumilia vya Kutosha na tumekuchoka. Nitahakikisha nakupiga Zengwe hadi Rais JPM akutumbue hapo ulipo kwani umeonyesha una Chuki za wazi wazi na Simba SC yetu japo kwa Unafiki wako mkubwa unajifanya Wewe ni Mwenzetu ( Mwana Simba SC ) wakati kumbe Kiuhalisia Wewe ni Yanga SC kindakindaki.

Na Mimi cleverbright nasema usisumbuke kabisa kuja katika Kilele chetu cha Simba Day tarehe 6 kwani tutakuzomea Uwanja mzima kwani tumeshakugundua kuwa Wewe ndiyo Adui Namba Moja wa Simba kisha unafuatiwa na Mzee Kilomoni na anamalizia Ismail Aden Rage.

Umeshatutibua wana Simba SC wote!
Naunga mkono hoja huyu daktari aliyelikana andiko lake ndiye adui namba moja wa Simba na ndiye alikuwa nyuma ya Kilomoni. Alaaniwe na wana Simba wote.
 
Mm ni mwanayanga pure kwa hili mheshimiwa kateleza ni hatari kwa maslahi mapana ya soka letu kwa kua Simba na yanga ni watu wa kuombeana mabaya siku zote najua yanga wanafurahia km ambavyo simba pia wangefurahia hili la kusema mheshimiwa ni yanga tafadhal jamani hebu tuwe siriaz kdg jpm,majaliwa,mwakyembe,makonda,ndugai wote simba wale nani asiejua? kaeni tu kikao chenu cha kifamilia myamalize haya!
 
Back
Top Bottom