Waziri Mwakyembe: Mahakama ya mafisadi na wala rushwa unakaribia

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252

Chanzo:Channel Ten
 
mwakyembe mwenyewe na raisi wake magu wote watuhumiwa hiyo mahakama si itakuwa white elephant
 
Hivi hawa kama kweli wapo siriaz na hiyo mahakama waanze kwanza wao kujiudhuru nafasi zao maana nao ni majipu
 
yaani nchi hii ina vituko sana yaani wezi wawashitaki wezi wenzao hii kali kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…