Licha ya kusema bungeni kuwa suala la mgao wa umeme ni HALIKUBALIKI lakini sas naona limeanza kukubalika kutokana na mgao wa umeme ambao hautangazwi bila shaka ni kwa lengo la kuficha aibu, Je mgao wa umeme kurudi kinyemela hii haimanishi kuwa WAZIRI MUHONGO NI MUONGO?
Mafisadi wanamhujumu ili aonekane muongo. Usicheze na wenye pesa!!!!!
Toa upuuzi hapa. Inamaana serikali inazidiwa nguvu na mafisadi, basi si bora tuwape nchi watuongoze wao.
Mkuu serikali yako inayongozwa na legelege JK ni serikali DHAIFU, wala hauitaji kupigwa fimbo ili uelewe... Wanachojua viongozi wako ni lini anatakiwa aende kubadili damu...
Unaweza kufikisha ujumbe bila hata kutukana. Hili la mafisadi kuwa na nguvu kuliko serikali ya kikwete halina ubishi kwani hata Pinda aliwahi kukiri hivyo.Toa upuuzi hapa. Inamaana serikali inazidiwa nguvu na mafisadi, basi si bora tuwape nchi watuongoze wao.
Unaweza kufikisha ujumbe bila hata kutukana. Hili la mafisadi kuwa na nguvu kuliko serikali ya kikwete halina ubishi kwani hata Pinda aliwahi kukiri hivyo.
Nimetukana wapi? Hii sio serikali ya kikwete ni serikali yetu, Kikwete ni mtu mdogo sana kwenye serikali yetu, kama tukiamua hata leo hawezi kuitwa rais tena, kwa hiyo mnapotokea na kutoa maneno ya kufedhehesha namna hii mimi binafsi ninachukia sana.
Ukifuatilia msingi za wanaosema Muhongo anafanywa nini sijui na mafisadi utagundua kwamba wanatembea na hoja ile ile ya Kikwete ni imara ila mawaziri wake ndio wanamuangusha, waziri mzima mambo yaliyo ndani ya mamlaka yake yanahujumiwa vipi na mtu wa namna yoyote ile? Kama ni hujuma wanahujumiana wao kwa wao, ccm wanatuhujumu watanzania, hakuna fisadi asiye mwanaccm nchini hii, kwa kifupi uwezo mzima wa ccm kusimamia serikali umedhoofika sana, hatuhutaji kusikia kisingizio chochote kile, na matusi ni haki yao washenzi hawa.
Toa upuuzi hapa. Inamaana serikali inazidiwa nguvu na mafisadi, basi si bora tuwape nchi watuongoze wao.
Mkuu serikali yako inayongozwa na legelege JK ni serikali DHAIFU, wala hauitaji kupigwa fimbo ili uelewe... Wanachojua viongozi wako ni lini anatakiwa aende kubadili damu...