Waziri Mpango 'ameteleza', asamehewe

zile pumba za mwishomwisho amekiri kuwa ame copy kutoka kwa JPM, kwakifupi zile sifa za mgombea bora ni maoni ya JPM nayeye ameagizwa/ameamriwa akayaseme, kwahiyo tumsamehe bure Dr. Mpango amelazimika kuyasema yale.
 
Mtu ameteleza,badala kupewa pole!eti asamehewe[emoji16][emoji16][emoji16] kiswahili ni taabu.
 
Yeye alipaswa kujielekeza kwenye hotuba ya bajeti aliyokuwa anaisoma.
 
Huyu si Dokta msomi ambaye naye ameokotwa mavumbini kama alivyookotwa Kabudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…