Waziri Mkuu Majaliwa aitaka kampuni ya TANCOAL Energy kuchimba Makaa ya mawe kwa kufuata mkataba

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
IMG_20170107_174705.png
 
My ideal Prime Minister....ni muda umefika sasa kwa rasilimali za Taifa kulinufaisha Taifa letu kiuchumi,lakini bila viongozi thabiti wa kusimamia haya hatuwezi kufikia malengo tuliyojiwekea.
 
Mbona wapiga deal wameishamaliza kazi,wapo watu wazito wataumbuka,bora kunyamaza.
 
Pambana PM, kwa juhudi zako huenda coal itasaidia kunusuru misitu yetu. Misitu inateketea kwa uchomaji wa mkaa.
 
Hivi makaa ya mawe ni nini .......... ???
Kazi yake ni nini ....?
Na kwanini yanaitwa makaa ya mawe ???
 
Back
Top Bottom