R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
HII NI MICHEZO INAYOENDELEA MOROGORO ,WIZARA ZOTE ZIPO PALE; WANAMICHEZO ZAIDI YA 4000,
WANALIPWA KILA SIKU POSHO;
USAFIRI
MALAZI
JEZI NA VIFAA VYA MICHEZO.
HIZI ZIPELEKWE KUENDELEZA MICHEZO YA COCA COCA COLA AU UMISETA NA UMISHUMTA. HUKO NDO KUNA VIPAJI; MIAKA 59 KIPAJI GANI MNAVUMBUA??????
Thea Samjela wa Uchukuzi SC (kuilia) akichuana na Regina Mutimangi wa TPDC katika mchezo wa bao.
Omar Said wa Uchukuzi SC (kushoto) akicheza bao dhidi Hamisi Rahis wa Tanesco.
Neema Makassy wa Uchukuzi SC (kulia) akitafakari katika mchezo wa bao dhidi ya Joyce Kimondi wa Ujenzi.