Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Ni kawaida mno na sana kwa Pinda kuropoka hata Sensa walibofoa pia huyu kasema lile huyu hili!!always inaonekana hakuna coordination
hapa umesema kweli mkuu. Pinda sio mwanasisasa, inajulikana kuwa hawa wakuu wa mikoana na wilaya sio watumishi wa umma bali ni makada wa chama, lakini ili wapate mishahara ni lazima watumie mgongo wa Serikali. kwa hiyo kazi yao hasa ni kuhakikisha uhai wa ccm. lakini wanadanganya umma kuwa ni watumishi wa seikali, kwa mkritu safi ambaye anazitii amri za Mungu hawezi kuwa mwanasiasa, hasa wa ccm kwa kuwa katika manemo mia utakayoonge sio zaidi ya mawili ya ukweli.Huwa Pinda ni Bulicheka ila kuna muda ukikaa ukatulia unaweza ukaona labda Pinda ananyoosha maelezo(anaongea ukweli) ya kile kilichosemekana kwenye vikao vyao vya chama ingawa hakutakiwa kuja kusema hadharani.
Hii inatokana na laana ambayo tayari inatembea nao sawa na mtu aliyekwishauwa binadamu mwenzake kuna kipindi kikifika anaanza kuongea mwenyewe niliua fulani nikamuuwa na fulani ila anakuwa anaropoka bila kujitambua. Pinda huyo
hapa umesema kweli mkuu. Pinda sio mwanasisasa, inajulikana kuwa hawa wakuu wa mikoana na wilaya sio watumishi wa umma bali ni makada wa chama, lakini ili wapate mishahara ni lazima watumie mgongo wa Serikali. kwa hiyo kazi yao hasa ni kuhakikisha uhai wa ccm. lakini wanadanganya umma kuwa ni watumishi wa seikali, kwa mkritu safi ambaye anazitii amri za Mungu hawezi kuwa mwanasiasa, hasa wa ccm kwa kuwa katika manemo mia utakayoonge sio zaidi ya mawili ya ukweli.