Gurudumu JF-Expert Member Joined Feb 5, 2008 Posts 2,349 Reaction score 264 Oct 13, 2011 #22 Yatafunguka mengi kweli kweli, tusubiri kidoooogo tu
R reformer JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 387 Reaction score 101 Oct 13, 2011 #23 Mkandara said: Kuna wakati hujiuliza hivi Kikwete aliona kitu gani toka kwa mtu huyu Mkulo, Mkuchika na Ngeleja... sijawahi pata jibu.. Click to expand... Nitajie mawaziri watatu ambao wako smart, wazalendo, sio wanafiki na wala mafisadi
Mkandara said: Kuna wakati hujiuliza hivi Kikwete aliona kitu gani toka kwa mtu huyu Mkulo, Mkuchika na Ngeleja... sijawahi pata jibu.. Click to expand... Nitajie mawaziri watatu ambao wako smart, wazalendo, sio wanafiki na wala mafisadi
R reformer JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 387 Reaction score 101 Oct 13, 2011 #24 NDEVU SI MZIGO said: Hebu tujikumbushe: Ni waziri gani wa fedha wa mwisho katika nchi hii aliyewahi kuwa mwadilifu, yaani yule ambaye hakukumbwa na kashfa zozote za ufisadi? Jamal? Msuya? Tukumbushane. Click to expand... Kwa kumbukubu zangu mimi ni Hayati Kibona pekee.
NDEVU SI MZIGO said: Hebu tujikumbushe: Ni waziri gani wa fedha wa mwisho katika nchi hii aliyewahi kuwa mwadilifu, yaani yule ambaye hakukumbwa na kashfa zozote za ufisadi? Jamal? Msuya? Tukumbushane. Click to expand... Kwa kumbukubu zangu mimi ni Hayati Kibona pekee.
mbogo31 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2008 Posts 711 Reaction score 173 Oct 13, 2011 #25 reformer said: Nitajie mawaziri watatu ambao wako smart, wazalendo, sio wanafiki na wala mafisadi Click to expand... Wapo ila huwezi kuwaona kwa kuwa mfumo waliomo ni mchafu so ili kutibu ni ccm kuondolewa madarakani hapo ndipo utwaona akina Prof Anna Tibaijuka.
reformer said: Nitajie mawaziri watatu ambao wako smart, wazalendo, sio wanafiki na wala mafisadi Click to expand... Wapo ila huwezi kuwaona kwa kuwa mfumo waliomo ni mchafu so ili kutibu ni ccm kuondolewa madarakani hapo ndipo utwaona akina Prof Anna Tibaijuka.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 Oct 13, 2011 Thread starter #26 Welu said: Mimi huwa nashangaa viongozi wetu wanapofanya mambo mazuri.!! Click to expand... Hawaoni umuhimu wa kufanya mazuri ndio maana wamechangamka na ufisadi tu
Welu said: Mimi huwa nashangaa viongozi wetu wanapofanya mambo mazuri.!! Click to expand... Hawaoni umuhimu wa kufanya mazuri ndio maana wamechangamka na ufisadi tu
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,945 Reaction score 23,891 Oct 13, 2011 #27 hakuna msafi ndani ya ccm.. never.... n it will never happen as long as wataendelea tawala nchi hii